Mkuu hata wao wanaathirika sana tu esp kwenye swala la kushika mimba..
Sio kushika mimba tu kuna wanawake hata ufanye romance unalia unakuta asee hawaivi na ukimpiga akafika kileleni we umejichelewesha hataki tena, na pia vyakula cjui nin wanawake wengi pia hawajui kujishughulisha uwanjani cjui wamelishwa maharage ya wapi?
Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!
Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.
Hebu badilikeni bwana!
rust you are right erectile dysfunction is now a public health concern also marriage is soon going to be public concern if you visit the stats you will be stunned, the problem is it has not been given much attention by civil societies and no research has been done on the matter.Erectile dysfunction (ED) is soon going to be public health concern..
kama ww wanavyokufanya hao wahuni
i real like your personal experienceswala sio vingapi hata kimoja lakin sio cha sekunde 30
Njoo Kwangu Uone "Mabadiliko"!!Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!
Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.
Hebu badilikeni bwana!
Hii Ni Kweli!!! Kuna Marafik Zangu Wa Kike, Wanalalamika Sanaa...Kwamba Majamaa Zao Ni Watu Wa "Kimoko" Hoiiiii!!!! Uwa Wanataman Kutafuta Wa Pemben.Ni wanaume wachache ujikubali kuwa wana tatizo, ila wengi hujitamba wako vizuri lakini hili ni tatizo kubwa linalokua kwa kasi, wanaume watch out, msiichukulie hii mada kirahisi rahisi tu na kujisifia sifia tu humu.