Wanaume mna tatizo gani?

Wanaume mna tatizo gani?

sintah

Senior Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
187
Reaction score
191
Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!

Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.

Hebu badilikeni bwana!
 
Erectile dysfunction (ED) is soon going to be public health concern..
 
Ni wanaume wachache ujikubali kuwa wana tatizo, ila wengi hujitamba wako vizuri lakini hili ni tatizo kubwa linalokua kwa kasi, wanaume watch out, msiichukulie hii mada kirahisi rahisi tu na kujisifia sifia tu humu.
 
Wapaka poda, wang'alisha lips na wavaa milegezo ndio zao hizo.
 
Kweli jogoo hata umfiche pakachani ipo siku atawika tu... Hongera mama kwa kufunguka. Ila taarifa hizi mumeo/mpenzi wako anazo? Sio unatuambia sisi tu na mumeo hana habari zozote utakua unakosea. Mmulika nyoka huanzia miguuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom