duu hadi nimekimbia sura imebadilika kama simbaAlikuwa anataka akusaidie kutoa password..!
Leo alitaka kuondoka na mkono, kesho ataondoka na kichwa.
Simu ya mwanaume ione kama mkwe wako.
mapenzi gani haya sasa? inamaana kuna nini ambacho sipaswi kukijuaSimu yangu wewe ya nin siku nyengne nakumiminia risasi.
kwan kipind naenda kusajili line tulisajili wote? nikiambiwa naingia jela kisa simu tutaenda wote? we tulia baki na simu yako na mim nibak na yangumapenzi gani haya sasa? inamaana kuna nini ambacho sipaswi kukijua
kwan kipind naenda kusajili line tulisajili wote? nikiambiwa naingia jela kisa simu tutaenda wote? we tulia baki na simu yako na mim nibak na yangu
Valentine naiona chungu
Kwa nini hukuomba? Hukutumia ustaarabu, halafu ulitaka ukimbie nayohabari za leo wanajamvi.....jamani leo nimestaajabu.Leo nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kua sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba lakini mwenzenu Ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu...Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane naombeni kujuzwa
ha ha ha ha ha lazma uvuruge ungeiacha kama ilivyo walaa ungekua sa hv unabembelezwa tu kwa msibaValentine naiona chungu
kama mpenzi wake siruhusiwi kushika simu? jaman mbna wanaume mna kera yani nimeharibu hadi valentine yangu bora ningelala home tuuKwa nini hukuomba? Hukutumia ustaarabu, halafu ulitaka ukimbie nayoangekuvunja tu mkono, hapo wala usingeweza kujitetea maana angesema ulitaka kumpora!
Wanawake kumbe mnakuwaga na vitimbi vya hovyo hivyo..
Usishindane na mwanaume, mwisho utaumia na kushindwa tu!
mkuu nimekomaSimu ya mwanaume ni kama Bomu la machozi. Halitoi mlio ila utakachokutana nacho huko sasa...
Simu ya mwanaume ione kama kitunguu maji ukiingalia sana lazima utalia tuu
Simu zetu mnapoziomba huwa mnatusababishia heart attack (in small scale). Maana huwa mnapekua hata ambako hamkutakiwa....utasikia "na huyu mdada ambaye picha zake ziko nyingi ni nani"? Unabaki unajiulza huyu ameomba simu apige au akaguemkuu nimekoma