Wanaume MMU tunakera sana

Aah mtajuana wenyewe sisi wengine hatupendelei kuweka nyiuz jukwaa lolote huwa tunatoa tu maoni yetu na kuwaunga mkono wenye akili timamu na ukizingua kama kawaida lazima uni report.
 
Sihusiki kwa hayo otherwise ni umbea ambao ni kawaida yenu.
Umenifurahisha sana na jibu lako.....ukisikia paaaa, ujue......usijali mkuu hapa tunauza chai tu, dont take it serious.
 
Mm huwa nakomenti ti sijali uzi kaweka nani....siku hizi watu wengi wana maisha yanayoridhisha na vijana wanapenda kuonyeshana ufahari waache wafunguke tu
 
Leo kaz kwelkweli aisee.......
Kuna mwingine ameleta uzi kwamba madem wa jf wana mkera kwa kufuatilia maisha yake..!!
 
Umeongea vizuri ila tunaotongozana pm utuwache...
 
Leo kaz kwelkweli aisee.......
Kuna mwingine ameleta uzi kwamba madem wa jf wana mkera kwa kufuatilia maisha yake..!!

Kina Mengi hawafuatiliwi na wana pesaa ye kwa usafi gani afuatiliweeee
 
Mwenzangu hizo na drive,nipo safarini ulaya hata mm znanikera coz wengne hata posta hatupajui vzur inaboaje....

Wenye vyao wanasema basiiiiii sie kapuku kujionyesha kaziii sanaaaaa
 
Jana kuna mtu kasema amenunua mkanda wa 60,000! oh mara mwngine tisheti yangu ya 45,000 inachuja kwani nimefua mara moja tu!!
 
leo MMU ni hatari ukifungua uzi wa Mom Fay aliodedicate kwa lara1unajiliwaza kidogo,ukirudi huku
makavu live lol!! haya Valentine njoo huku nako kuna shangwe.

Haya ndo masnura yenyewe sasa watu washaharibu
.........
 
Jana kuna mtu kasema amenunua mkanda wa 60,000! oh mara mwngine tisheti yangu ya 45,000 inachuja kwani nimefua mara moja tu!!

Mi nilinunua ya 2000 nzima na haitoi rangiiii dadeekiii
 
Jana kuna mtu kasema amenunua mkanda wa 60,000! oh mara mwngine tisheti yangu ya 45,000 inachuja kwani nimefua mara moja tu!!

unajua mkuu kuna watu wana maisha mazuri humu ila hawajiproud kihivyo.
 
Tungekua na watu wenye uelewa na constructive ideas kama wewe humu jamvini hakika fikra zetu zingekua pana mno,,,,,!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…