Jina la series = msutano , season 1 episode 4
Dhambi haiiish, kesho nawewe watakufungulia uzi tu, sababu huyu wa leo jana alimfungulia mtu uzi, na wa jana alifunguliwa uzi...revenge @work
Mkuu mtu ambaye hajawahi kufika tz, aishie tu kusoma comment za wanajf anaweza akahitimisha kwa kusema Tz ni nchi yenye maziwa na asali iliyobalikiwa kuliko hata mfalme suleiman. Kwamba raia ni so civilized n' informed, anaweza kuenda mbali akadhani Tz ni nchi ambayo imeendelea kiteknolojia toka zamani hata kabla ya yesu. Coment za wanajf unaweza ukareflect ndivyo sivyo make utaona kabisa kila mtz ana magari mengi mazuri, kasoma shule na chuo bora kabisa, ana nyumba na kazi nzuri. Yaani we acha tu Tz ni nchi yenye maziwa na asali.
Jina la series = msutano , season 1 episode 4
Dhambi haiiish, kesho nawewe watakufungulia uzi tu, sababu huyu wa leo jana alimfungulia mtu uzi, na wa jana alifunguliwa uzi...revenge @work
Bado mdada aliyeandikwa hajajibu..tusubiri liuzi liuuubwa...halafu kati ya wale watatu madume walomfata PM sijui bado wangapi? ila watamwandikia pia.haa kumbe watu wanalipizana visasi humu!!
Bado mdada aliyeandikwa hajajibu..tusubiri liuzi liuuubwa...halafu kati ya wale watatu madume walomfata PM sijui bado wangapi? ila watamwandikia pia.