Wanaume mmezidi vurugu

hizi ni sifa za marioo na sio wanaume

(Jambo la kushangaza sasa, vijana hawa wote, wanaact kama vile ndio tayari mmeanza kujenga future. Mara hoo najenga, tutahamia kwetu nikopeshe basi laki mbili nikamalizie nyumba. Mara hoo mama anaumwa sasa nimechacha pls nisaidie nitakurudishia. Kubwa zaidi hadi aliyenimwaga kwa kashfa naye anapiga kusalimia mara hoo naumwa sina hata pesa.)

usingeandika hii sentensi

(Karibuni kwa mapovu.)[/QUOTE]

 
True [emoji3] [emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji2]
 


[/QUOTE]
Sababu?
 
Pole sana.
Naomba uje kujichanganya kwangu naahid sitokuletea vurugu kma za hao wengne. Ni PM tafadhar
 
Bila shaka ni Wanaume wa dar ,,maana wamikoani hawana uwo ujasiri wa kuomba hela aseee hizi story mkoani bado hazijashamiri,,,lakini pia na wewe izo hela unazo ndo maana unaombwa!! Mapenzi nikusaidia tho ila KUWA MWANGALIFU
 
Wanavyojifanyaga humu wote wanaombwa hela kumbe wengi wao ni marios tu wanatafuta kujisafisha.
 
Samahani, hivi unaposema wanaume bila kua specific katika unachoongea unamanisha wanaume wote including your father, uncles, brothers, ..
Ushauri wa bure try to be specific next time unapoongea mambo kama haya ..vidole kamwe haviwezi kulingana.
 
Sio wanaume wote mkuu. Bila shaka muonekano wako ni wa kiuhongaji ndo maana wanakuomba pesa. Mwanaume mpambanaji hawezi kulialia shida shida kwa mwanamke.
 
Kumbe tuliowah kuachwa tupo wengi, hongera kwa kufanya maamuz magumu ya kuwa wewe peke ako ,Kazan ununue kiwanja ujenge,amini wako yupo tu kuna siku utakutana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…