The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 381
UmechelewaNawahi Nafasi Ya Mtu
Dada, kwanza pole kwa kumwagwa,ila mwisho wa safari moja ndio mwanzo wa safari nyingine. Maisha lazima yaendelee, kusupportiana kwa vitu vidogo vidogo ni jambo zuri, kama unaweza saidia, saidia, unajua wote ni watoto wa wakulima na sometimes opportunities zinagoma, hawa wenye ajira zao nao wameshakopa kila benki, kwa hiyo wana mshahara jina tu...Karibuni kwa mapovu.
Ndio hao hao. MTU hata hujaingia nao kwenye mahusiano wanakuganda kama uko mwanamke peke yako. Ukimkataa anajifanya hajakusikia alafu hapohapo anaanza kutangaza shida.Ni wale Jide aliowaimba (wanaume kama mabinti) au?
Hapana sina tabia hiyo. Pengine muonekano wangu wanadhani Nina Pesa.Inaonekana ulikua/una tabia ya kuhonga wanaume,
Sasa mkuu kwa siku moja unapata maombi ya matano kweli hizo baraka so zimepitiliza?Dada, kwanza pole kwa kumwagwa,ila mwisho wa safari moja ndio mwanzo wa safari nyingine. Maisha lazima yaendelee, kusupportiana kwa vitu vidogo vidogo ni jambo zuri, kama unaweza saidia, saidia, unajua wote ni watoto wa wakulima na sometimes opportunities zinagoma, hawa wenye ajira zao nao wameshakopa kila benki, kwa hiyo wana mshahara jina tu...
Kipindi hiki sio kizuri sana kiuchumi kwa watu wengi, so pale unapoweza piga tafu, fanya hivyo na Mungu akubariki. Mwisho nakutakia umpate umpendaye, na yeye akupende ila pia awe na kipato kizuri aweze kukupa bata zote bila kukwama kwama...
Hii ni too much. Mtu akugande kama u mwanamke peke yako na bado analazimisha kukubebesha majukumu ya mpenzi lolMwanamke akiombwa hela lazma mtaa wapili wajue.
Basi inaonekana una muonekano wa kibosi. Yani mtu akikuangalia anajua pesa hapa imelala... πππ Ndio maana kila anayepata shida anaamua kukimbilia kwako...Sasa mkuu kwa siku moja unapata maombi ya matano kweli hizo baraka so zimepitiliza?
Hii ni mijitu mizima kabisa inayotakiwa kuoa hasaNdio tabu ya kuwa na serengeti boy halafu unafanisha na baba zao