Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?


Ina maana sipo kwenye Limenyu lako au huwa unaniruka makusudi?
Najisikia kunyanyapaliwa aisee.
 

Mpe hata dada yako....hahahaha naona mnapeana moyo.....mweeeee
 

Fanyia kazi niliyokua highlight!
 
Ahaaaaa......safi sana.

Sasa kabla hatujakubaliana nikupe siku ngapi, tukubaliane kwanza kuhusu hili:

Nikiyataja utanipa/ fanyia nini na nikishindwa kuyataja utaamua mwenyewe nikupe/ nikufanyie nini.

Sawa?

Haya nimekuelewa...
Ukishindwa kuyataja itabidi unipe 'unachoona kinafaa'
Na pia ukifanikiwa kushinda na ukawataja nitakupa kitu ambacho marasta wengi hawakili kwa wanyama ila kwa binadamu wanakila
 
Mwache atishie kujamba wakati anaharisha...mekumiss pande zile bibi wewe...

Juzi kati tu hapa aliambiwa kuhusu dada fulani alitiaje huruma alivyokua anajitetea!!
Utadhani hana kifanyio halafu kasingiziwa kumpa ujauzito mwanafunzi.

Halafu nyie wenye vidomo domo ndo nawapenda sana.

Ni mwendo wa kuwakunja hadi nagonga shingo ya uzazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…