Wanaume mliooa tulieni na wake zenu

Wanaume mliooa tulieni na wake zenu

Mama G anapiga kampeni ili Baba G asikubalike. Ila kampeni yake imebuma hii.
Hilo swala gumu
 
Sawa mkuu, ila umetusema mno tuliooa. Umesahau kuwasema wanaojipitisha kwa waume za watu wakiomba zawadi na misaada. Utasikia 'shemeji nina kiu!' ni rahisi tu nakukata kiu ili ukanikate kiu.
Eheheh ndio maana mapovu mengi mi nafulia tu
 
Back
Top Bottom