Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Ewaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] nakupenda Sakayo
Ewaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] nakupenda Sakayo
Mima wangu ni muislam ,hana hiyana nailoSawa utulie na mima
Nasubiria kwa hamuNimzimishe tena sijakupa mrejesho wa jana usiku namsubir arud katoka kidogo aje tuandike yaliyotokea ni balaaaa
Mimi naenda kwa G ni mkristoMima wangu ni muislam ,hana hiyana nailo
Haya sasa nishushie vioo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewaaaaa
Nikikuonesha sms utanihurumia bora atume mpesa maneno nachokaDah hicho kidume ulichokipata kiboko maana sio kwa povu hilo
Usjali mamyNasubiria kwa hamu
Jahahahaha mkuu , siunaona aina ya uzi??? Not everyday nikandamize manenoBasi huu uandishi unanipa wasi wasi maana nimezoea kukutana na ule wa kiputin zaid
Ulimpa ile ya panga boiUsjali mamy
Hata mimi mkristo ,hakijaaribika kitu.Mimi naenda kwa G ni mkristo
Hapana nimerogwa na GHata mimi mkristo ,hakijaaribika kitu.
Doooohhhh G legeza nati basiHapana nimerogwa na G
Ndio mwenyekiti wa chama cha masingle mother Tanzania (chasimota)Mama G halafu hujaolewa!
Haha haha si unajua kupenda aise msikilize mkubwa mwenzio hmm [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nikikuonesha sms utanihurumia bora atume mpesa maneno nachoka
Nilimpa inaitwaa "American language"Ulimpa ile ya panga boi
Yess mimi ndio MwenyekitiNdio mwenyekiti wa chama cha masingle mother Tanzania (chasimota)
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watu mna manenoNdio mwenyekiti wa chama cha masingle mother Tanzania (chasimota)
Sijawah ona sijawah aisee nahisia atakuwa ni malaika kashukaDoooohhhh G legeza nati basi
Apende mkeweHaha haha si unajua kupenda aise msikilize mkubwa mwenzio hmm [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]