tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,324
Ujumbe poa sana kwa wanaoithamini ndoa.
Wewe paragraph wanaweka mods angalia now,we mwl wa mwandiko jfUjumbe mzuri japo uandishi ni mbovu,siku nyingine weka japo paragraph tusome kwa wepesi na uwazi zaidi.
Mama G halafu hujaolewa!
Hahahahahaha JF haina jema
Imenichukua muda kabla sijaelewa wallah....."Singo madha"
Hapana nipo kawaida tu huyo G yumo humu nampenda tu nae ananipenda basi kanipenda nilivyoYaaan Leo ndo umekua a "Lady" siku nyingine ulikua "demu".
Sasa sijui nimabadiliko uloyafanya baada yakua na G ??
Wanaume walooa wamekusikia.
Ili nigundue niniNilifikiri umeolewa!
Hivi kuna mtu amehack a/c yako? Huu uandishi si wako kabisa.Yaaan Leo ndo umekua a "Lady" siku nyingine ulikua "demu".
Sasa sijui nimabadiliko uloyafanya baada yakua na G ??
Wanaume walooa wamekusikia.
teh tehh tehteehhhhNimeoa tayari ila masharti yake nshayajua, hakuna kusema "nakupenda" wala video calling, lamba mzigo sepaa, here we go....
Jf sihami wallah....Sisi ndo tumeruhusiwa kumsumbua mama G ...
Yaaan sisi hatujaoa lkn tumepewa go ahead ya kumsumbua Mrs G![]()
very interesting mkuu.

Basi bakia kwenye hiii kawaida ,maana uko nyuma , hukuwa unaona nihatar kutongozwa na mume wamtu ........Hapana nipo kawaida tu huyo G yumo humu nampenda tu nae ananipenda basi kanipenda nilivyo
Inabidi nijiweke kwenye kundi la ambao hawajaoa ili nipate fursa teh.....Wewe si umesema unaogopa mapovu
Toa ya moyoni mamaNgoja weekend iishe kwanza
Ukihama JF utakua chizi siku chache baadae...Jf sihami wallah....![]()
![]()
AhahahahhaM-pesa anachukua?!
G ndio anisumbue atakavyo maana hajaoaSisi ndo tumeruhusiwa kumsumbua mama G ...
Yaaan sisi hatujaoa lkn tumepewa go ahead ya kumsumbua Mrs G![]()
very interesting mkuu.
Nakupenda ni iwe MpesaNimeoa tayari ila masharti yake nshayajua, hakuna kusema "nakupenda" wala video calling, lamba mzigo sepaa, here we go....
Hatutaki wauke za watuUpambafu mtupu. Kusema tutasema lakini kiukweli tunataka mechi za mchangani
Bazazi Nimesema