Ndoa ni zaidi ya Mapenzi...mkuu unaoa ili iwe hailali nje?Moja kwa moja kwenye mada, ukiwa na mke1 kuna changamoto nyingi sana ambazo mpaka uwe mwanaume uliyeooa ndio utaelewa..
1.Mwanamke akizaa unafanyaje katika kipindi anachonyonyesha?
2.Akiwa blid unafanyaje ?
3.Vp akiwa amechoka hajisikii kuwa na wewe kwa wakati huo...unafanyaje?
4.Akiwa anaumwa tunafanyaje?
Yako mengi sana kiukweli wengi mtasema nimeongelea upande1,ni kweli sisi wanaume wadhaifu sana katika mahusiano
Asante...
Same applies. Kwa mwanamke mwenye mwanaume mmoja anaishije???
Heb watupe technics.
Hahahaa hahaahalagu jiulize wewe hayo maswali
1.ukiumwa mke wako anaenda kwa nani kutimiza haja zake?
2.na siku ukichoka je?
ukijibu hayo maswali nitarudi...
umeandika upuuziMoja kwa moja kwenye mada, ukiwa na mke1 kuna changamoto nyingi sana ambazo mpaka uwe mwanaume uliyeooa ndio utaelewa..
1.Mwanamke akizaa unafanyaje katika kipindi anachonyonyesha?
2.Akiwa blid unafanyaje ?
3.Vp akiwa amechoka hajisikii kuwa na wewe kwa wakati huo...unafanyaje?
4.Akiwa anaumwa tunafanyaje?
Yako mengi sana kiukweli wengi mtasema nimeongelea upande1,ni kweli sisi wanaume wadhaifu sana katika mahusiano
Asante...
Tunapiga Mgalula aka nyeto mpk akirudi kwenye hali yake
umeandika upuuzi
Huenda hata kuoa hajaoa bado huyu. Ni utoto sana kufikiri ndoa ni tendo tu ndio lenye kipaumbele.Sasa wewe ukipungukiwa na nguvu za kiume au ukiumwa ina maana lazima atoke nje. Ndoa ni zaidi ya tendo aisee bleed ni siku chache unavumilia tena ukiwa busy huwazi labda ka huna majukumu mengi
Ni kweli Ana utoto flani kwanza ukiwa na familia Kuna saa majukumu yanabana had unasahau Hilo tendoHuenda hata kuoa hajaoa bado huyu. Ni utoto sana kufikiri ndoa ni tendo tu ndio lenye kipaumbele.
Sure mkuu. Yaani ukiwa bado kichwa akija komaa ndio unawaza tendo tu muda wote. Na upendo pia ukiwa na upendo haswa na mwenzi wako unaona ana tatizo anaumwa na mengineyo why ukae kuwaza ngono tu.Ni kweli Ana utoto flani kwanza ukiwa na familia Kuna saa majukumu yanabana had unasahau Hilo tendo
Sio kweli mkuu acha URONGO