Wanaume mliooa kumbe mko hivi?

Inategemea kwa maana asilimia kubwa wanapenda wanaume zao ila wanaume ndio Hao wanapenda wanawake zao wanje familia haitambui .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm mme experience kwa mshkaj wangu ambae anatoka om kwenda job sa1:00 anainga om sa2 jioni na kaz yke ni though out Hana ata mda wa kuchomoka na anarud chokaaa Ila bado hom sio seem salama.
Mnatakiwa kujitune bana
 
Wanaume wa hivyo ni wapumbavu. Na wanawake wanaotegemea pesa ya mwanaume ni Wajinga na wavivu.
Ushauri wangu kwa vijana. Usioe Mwanamke Masikini. Hata usijaribu.
Yessir, mwanamke anaelilia matunzo 2019 hii hata mafuta hawezi kujinunulia ni mzigo kwa ustawi wangu na familia kwa ujumla. Kama hana akili ya kubuni mradi hata wa matuta ya mchicha uani huyo sio mke ni mzigo.
 
Hahah ukiona mzee hapapendi home ujue kuna kinachomkwaza na obvious kama sio watoto wadogo na fujo zao basi atakuwa wife!
 
Inategemea kwa maana asilimia kubwa wanapenda wanaume zao ila wanaume ndio Hao wanapenda wanawake zao wanje familia haitambui .

Sent using Jamii Forums mobile app
We hujakomaa ukaijua hii taasisi vyema. Kuna kitu kinaitwa good sex mama. Wanaume tunataka hii kitu sana kupunguza msongo wa mawazo na kukoleza upendo. Sex ikishaanza kuwa ya mgogoro tu kwenye ndoa lazma tutafute mbadala nje, unakuta mkeo unamuhitaji mara kachoka mara akusimange kuwa unapenda kutiana kila saa, mara akikupa na sharti kojoe haraka anataka alale!

Hizo kero zikizidi ndio mzee unatafuta mchepuko ukipata damu changa anajua kutoa mchezo balaa na mda wote unaotaka anakupa kama yote na ushirikiano plus! Utaanzaje kumuwaza mke anaekuboa tu!?
 
Yessir, mwanamke anaelilia matunzo 2019 hii hata mafuta hawezi kujinunulia ni mzigo kwa ustawi wangu na familia kwa ujumla. Kama hana akili ya kubuni mradi hata wa matuta ya mchicha uani huyo sio mke ni mzigo.

kabisa. yaan mwanamke badala awe msaidizi wewe ndio unageuka msaidizi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…