katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
- Thread starter
-
- #21
Eti mwaya waambie halafu wao wanalalama tu.Ni kweli hayo yapo tunayaona mitaan ila baadhi ya wanaume hawajitambui kabisa wabadilike,harafu waendako huko wanachukua ya kuyachukua wanawaletea ndan wake zao( maradhi) mama Wa watu katulia nyumban hela aachiwe ndogo na janga juu kuletewa ndani
Sawa tutapambana na hali zetu ila msiwanyanyapae wanawake waliowazalia watoto waliokufanya uitwe baba.Pambana na hali yako mkuu
Ni kweli nasema kunawengine wapo wanajitambua nakweli wanatimiza.Wanaume hatupo hivyo maana halisi ya uanaume ni pamoja na kutimiza majukumu ya familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli umesema ukweliMwanaume anaishi na mkewe jinsi mkewe alivyomzoesha!
Mfano mzuri tuu kuna wanaume wanaenda sokoni ndo walivyozoeshana na mkewe! Kuna wengine hata mlango wa sokoni haujuii ndo walivyozoeshana hivyo!!
Kila familia ina utaratibu wa maisha yao na hayafanani na familia ingine!
Inategemea na ulipo ila nakushauri usipende kukaa karibu ya watu wanaofeli utajikuta unaiga kufeliSijamchukulia kwa lolote bali nimeona tu baadhi ya familia napia nimeona niseme tu.
Unajua kuoa lazima waoe nasisi lazima tuolewe.
Nakatika familia hazifanani ila kama ndio hali imezidi inabidi kwenye majukwa kama haya tujaribu kusema ili ya jadiliwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kelele zake huyu hata huyo mume anajitahidiHuyo ni mume wako tu sio wote wako hvyooo....wengine hata kidole hawajawahi kunyooshewa tusikariri maisha..
Na tusifanye wengine wakachukia kuolewa pia!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu una malalamiko sana.