Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Ilitokea kwa housegirl wa uncle. Uncle katia mimba akabambikwa mtu flani ila Ukweli ni mtoto ni wa uncle na ukoo Wote unajua kasoro shangazi tu. Siku akijua yule mdada hapatakalika
Kwahiyo yupo kama kisiwani vile siku akijua ndugu wote mtachukiwa, ila vibaya tuombe uzima sasa mambo yanharibika ndiyo maelezo yanaanza sasa mtoto si anakosa penzi la baba jamani? Bora ajue aumie yaishe mtoto awe huru
 
Hajui chochote na ana mke wake.. ameapa Miungu yote kwamba hakuwahi hata kumtongoza. Katoto sasa kana miaka kama minne plus ...mjomba anahudumia kisiri mke asigundue.
Duu hatari beki 3 apate mimba ndani kwangu lazima maelezo ya kutosha hivi hivi no lazima nikubali huyu ni zao la huyu huyu
 
Na ukishaona mwanaume anakuwa so concerned na mabeki tatu tena anamtetea mbele ya mazahous basi lazima mwanamke akili zikucheze. Mme mwenye Hekima zake atakushauri chemba hukooo kama unamtreat vibaya beki au kama kuna maboresho.
Hilo kweli kwanza yule asiyekuwa na mpango naye kwanza mkipishana hana muda labda pembeni huko atakwambia lakini macho jujuu kwenye ugomvi wa jikoni tambua tayari mke mwenza huyu
 
Sasa hapo Unle akidanja (Mungu aepushie mbali) mtoto ndio atakuwa muhanga.

Ni bora Mama ahakikishe haki za mwanae zipo kwa ajili ya leo na kesho.
Yaani asipojiongeza atakosa kila kitu, kosa wafanye wazazi mhanga atakuwa mtoto
 
Duh??? Kwahiyo adam na eve hawakua na akili? Waliopewa amri ya kuijaza dunia. Alielala na mwanamke hadi ukapatikana wewe je???????
Mkuu hapa kinacho ongelewa si kulala kitanda kimoja au usingizi
Haya ni maneno ya Biblia
"Hana akili mtu alalaye(aziniye) na mwanamke"
yanayo maanisha
"Uzinzi"

Sasa tafuta kamusi uangalie maana ua
Uzinzi na
Uasherati

Wewe ukilala na mkeo si uzinzi cause ni mkeo halali wa ndoa......

Sasa Adam na Eve sijui ulimaanisha nini nimeshindwa kukuelewa
 
Mkuu hapa kinacho ongelewa si kulala kitanda kimoja au usingizi
Haya ni maneno ya Biblia
"Hana akili mtu alalaye(aziniye) na mwanamke"
yanayo maanisha
"Uzinzi"

Sasa tafuta kamusi uangalie maana ua
Uzinzi na
Uasherati

Wewe ukilala na mkeo si uzinzi cause ni mkeo halali wa ndoa......

Sasa Adam na Eve sijui ulimaanisha nini nimeshindwa kukuelewa
Wewe ndio hujaweka maelezo yako vizuri. Labda ungesema "hana akili aziniye na mwanamke"
 
Sisi tunajiamini kabisa and as nature sisi hata tukihudhuria ibada tunatoa ya mioyoni sasa nyie mwajifanya vidume mwachepuka, huku mke akichepuka mnazidisha mawazo mwishowe mwashikwa na pressure, Mara magonjwa yra moyo mwisho MNA R. I. P
Mimi hayo sina sina mda wa kuwa za mwanamke ila pesa but nikikufuma najutumia by the way nawashangaa wenye mke mja
 
Sasa na sisi si ndo tunatfta kidumu lingine na kukizalia kabisa tena tunakua nao had watano and we have nothing to loose or feel jealous coz sisi huhamisha hisia hata wivu una kuwa hamna
Good enough hakuna mwanaume spesho,ukichokwa utatemwa kama kawa,ila mnawakuta hao hao hadi uzae hajajua,mm mtoto lazima afanane na mm,hadithi za sijui Mungu does not apply
 
Hajaaaaaa mtoto mwingine anafanana na mamake copy and paste sasa hapo unafanyaje unafikiri omba yasikukute ndugu yangu
Najua naxhokifanya hadi afanane na Mimi sibahatishi,by the way ukoo wetu tunadamu Kali hakuna mwanamke amezaa mtoto wa tofauti na sisi,hata mama zetu wameshindwa kucheat,sina cha kuomba hapo
 
Guys natumai mu bukheri wa afya njema. Weekend nliwaaga naenda kutana na mpenzi wangu, ambaye alikuwa beki3 wangu. As I told you before huyu mtoto ni mzuri sana. Na aliletwa kwangu kufanya kazi ikiwa ninsehem ya kumresque na baba yake mzazi ambaye alikuwa anamtongoza.
Kama kawaida aliaga kwao kuwa anaenda kutafuta chuo cha kusomea cherehani, na nlikuwa nimemwambia akipata nitalipa ada nangharama zingine zote. Basi nikamchukulia form na kwa vile mpango ulikuwa umeshaandaliwa mm nlikuwa nishapiga simu na form ninayo mkononi. So nlikaa naye siku 2 hotelini najilia tu vitu adimu. In short nlienjoy sana. Pia kwa vile tulipotezana kwa takriban mwezi hivi bila mawasiliano kwani hapa kwangu ilikuwa marafuku kukaa na simu coz hapo nyuma nlimpa simu akawa na matumizi sio mazuri nikamnyanganya, basi nikawa nimemchukulia smartphone nzuri ya laki moja hivi kama zawadi kwa kuendelea kunitunuku tunda lake. Tumemaliza yetu tukapanda bus kurudi tukiwa na furaha tu. Jana nimempigia simi saa tatu nikakuta simu bize, saa tatu na dk15 bize,23:30 bize,23:45 bize,22:00 bize, 22:20 bize. Nikazima simu nikalala.nikaacha sms unaongea na simu all the time saa nzima na nusu unaongea biashara gani usiku wote huu. Na unaongea na nani. Sikujibiwa.asubuhi nimempigia simu nikamuuliza kasema simu ilikuwa chaj. Hivi ninavyoongea ndo nimemaliza kublacklist namba zake, na kuzifuta kabisa. Sijamwambia kitu
 
Ningependekeza tusiwaite beki tatu kuanzia leo....tuanze kuwaita Makamu wa Mke. Maana Mungu anajua ni jinsi gani hawa viumbe wanavyosaidia kuokoa ndoa nyingi katika jamii. Unakuta Baba anarudi kazini mapema na hapendi kuzurura na kwenda kushinda kwenye mabar....sababu ni beki 3.
Heshima kwa mabeki tatu ulimwenguni kote. Arnold Schwarzenegger alitafuna mpaka akazaa na beki tatu wa nyumbani kwake.
Ahahahaa....Makamu Mke
 
Najua naxhokifanya hadi afanane na Mimi sibahatishi,by the way ukoo wetu tunadamu Kali hakuna mwanamke amezaa mtoto wa tofauti na sisi,hata mama zetu wameshindwa kucheat,sina cha kuomba hapo
sasa ndo utaletewa na una kuwa kimya
 
Back
Top Bottom