Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,572
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu unaishi dunia hii hii au? Hapo swali lingekuwa unaposwa vipi bila kuliwa papuchi.
Yo nuts!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu unaishi dunia hii hii au? Hapo swali lingekuwa unaposwa vipi bila kuliwa papuchi.
Acha tu ndugu yangu, sielewi nitumie camera yanguahahaaa nilidhani reli ya kati
Bora wewe unatambua hilo.Hata sisi wanawake hatujambo.
Unakuta tunajua kabisa mtu ana mke wake lakini tunajidanganya kuwa sisi ni zaidi na tutajituma mpaka atahamishia majeshi kwetu.
Mda unaenda, unaendelea kuliwa weeee na ulivyo na kasi ya kumuachisha mwenzio mpaka kinyume cha maumbile unampa.
Siku zinaenda weeee mawasiliano yanaanza kukata, huduma nayo, mara paaa. Umeachwa.
Machungu na majuto yanaanza. Ndo mwanzo wa kuona sura ni pana na kutaka kudhalilishana.
Kila siku nasemaga wanaume ni wawindaji. I abidi kuwa na akili ya ziada kuepuka kuliwa ovyo ovyo.
Sikupotezi kaka najua hakuna atakayekubali.
Ukiskia paaaaaaaaa.mbona unachokisema na mleta mada tofauti? wewe dada unajifanyaga kujua kila kitu.huyu kasema jamaa alimdanganya hana ndoa mtu akikutongoza unajuaje kama hana ndoa?
Kwa kweli mmetudhalilisha, kwamba hata kwenye kioo hatuenei na full kibamia!mkuu soma mleta mada sio mimi
Unapingana na nature ama hujaelewa nilichomaanisha.Eti wanaume ni wawindaji!! Hizi kauli zenu ndizo zinazowapa vichwa hawa viumbe hata wasitulie kwenye hizo ndoa,mnawalea sana bwana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
sura yako inaenea kwa camera?Acha tu ndugu yangu, sielewi nitumie camera yangu
Ukiona manyoya ujue kishaliwa....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukisikia paaaaa ujue kimelia
Akikujibu uni tag....Kwani jamaa alishakumega?🙂
Nature ipi?Unapingana na nature ama hujaelewa nilichomaanisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unamtafutia BAN?
Kwenye camera nyingi sienei, labda webcams kidogosura yako inaenea kwa camera?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Keshagegedwa mtu huko tayari!!!
nasubiria picha inayoenda kwa baba mkwe tu yaani sipati picha