Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

Moja kwa moja kwenye mada…

Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..

Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa na upwa.

Hapo ifahamike kuwa tumeshaflirt sana, yaani ashanisimulia jinsi atanipa mambo nisahau njia ya kwetu. Mdomoni tu, ana game sio ya nchi hii yaani Casanova huyu hapa.

Mtoto wa kike hiyo siku nikatoka, shanga zangu za pink kiunoni nikaenda Kijitonyama.

NILIJUTA! Hajui Kukiss, Hajui Kusex, Hajui chochote.

Ila kwa sababu alikuwa rafiki yangu, nilimchana live. Nikamwambia “wewe, kunisumbua kote kule ndo hivi??”

Leo nimemkumbuka kwa sababu amenitext “wewe mwanamke uliwahi kuumiza hisia zangu sana. Najua nina deni kwako”

Wanaume, muwe mnafanya mnachotakiwa kufanya. Haiwezekani nitende dhambi ya uasherati halafu nisipate raha. Hata shetani anabaki ananicheka!
Mpaka unaachika ni wazi una kasoro, huenda Bwawa au Gogo ndomana jamaa mzuka ukakata! Lakini pia chunguza kama harufu itokayo huko chini ni ya kawaida.
 
Inategemea.. kuna situations mbili.

Moja kama ulikuwa mzuri sana kias kwamba jamaa ulivyomvulia akashangaa na kubaki akiweweseka na kusahau mautundu yote pia utamu wa K uliopitiliza asiweze kumuda kujizuia kumwaga wazungu haraka.

Mbili, huwenda ikawa VICE-VERSA kakutana na mambo tofauti...

Kuna kipindi nilikuwa nafukuzia pisi moja hivi.. sasa ikawa inanizungusha kunipa Game.. (Sitongozi mimi ni maelewano ya juu kwa juu).

Basi kuna siku akaingia ktk mfumo nikaforce akaja geto, nakumbuka alitoka ktk party ameshautwika mvinyo kichwani.

Aisee akaja geto pale akapiga maji frsh sasa wakat naforce nile mzg ndio nikabaini kwanin Manz alikuw ananipigisha danadana (Chenga) nyingi.

Kwanza ngozi kuanzia kifuani kushuka chini mpk miguun ina makovu (alikuwa ana attempt kujichubua, mkorogo ukagoma)

Yaan nikawa nafeel kbs anavyojiskia aibu,uoga etc.. ila mie sasa kwa kuwa tyr maji nishayavulia nguo ikabidi niyaoge tu.

Nikajisemea mwenyew kwamba hapa.. kwa mtu mwingine asingeweza kuila hii pisi kwa amani.. 😅

NB: ukimchek hivi usoni yupo clear kabisa.. na akivaa suruali na socks.. aaah PISI si hii hapa ya kinyarwanda.. we mvue nguo uone balaa.

Tangia hiyo siku aisee yeye mwenyew akaw ananikwepa kwepa, mie wala sikuonyesha negativity yoyote, na asubuh nikamsetia chai pale nzito.. kabla hajasepa nikamla tena.. then ikaishia chini chini sikuomba tena game.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom