Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
Hongera naamini mtafanikisha ndoto zenuEven me na Pacha wangu tuna hizo ndoto
AiseeeeIkitokea mtu anishawishi kuolewa na hadi nishawishike kuolewa basi muoaji awe mwanaume pacha ambaye wamezaliwa pacha 3 na pacha wenzake 2 wawe wa kike yeye ambaye ndo anishawishi kuniona awe wa kiume. Na wakati ananishawishi kunioa hao pacha wenzake 2 wawe walishaolewa na bado wako kwenye ndoa zao na wawe na watoto si chini ya 3 kila mmoja.
Hapo ndo ntasema YES... I DO.... I WILL MARRY YOU.....
Vinginevyo..... I enjoy being senior single granny.
Kasie.
kumbe wewe ni she.Ikitokea mtu anishawishi kuolewa na hadi nishawishike kuolewa basi muoaji awe mwanaume pacha ambaye wamezaliwa pacha 3 na pacha wenzake 2 wawe wa kike yeye ambaye ndo anishawishi kuniona awe wa kiume. Na wakati ananishawishi kunioa hao pacha wenzake 2 wawe walishaolewa na bado wako kwenye ndoa zao na wawe na watoto si chini ya 3 kila mmoja.
Hapo ndo ntasema YES... I DO.... I WILL MARRY YOU.....
Vinginevyo..... I enjoy being senior single granny.
Kasie.
we ni ke au meEven me na Pacha wangu tuna hizo ndoto
Kwa vile wote ni mapacha na wameoa siku moja wanaweza shea piaDuh!bila shaka wataonjana wote.
hautaki kutawaliwa.Ikitokea mtu anishawishi kuolewa na hadi nishawishike kuolewa basi muoaji awe mwanaume pacha ambaye wamezaliwa pacha 3 na pacha wenzake 2 wawe wa kike yeye ambaye ndo anishawishi kuniona awe wa kiume. Na wakati ananishawishi kunioa hao pacha wenzake 2 wawe walishaolewa na bado wako kwenye ndoa zao na wawe na watoto si chini ya 3 kila mmoja.
Hapo ndo ntasema YES... I DO.... I WILL MARRY YOU.....
Vinginevyo..... I enjoy being senior single granny.
Kasie.
Kwanini,umeamua hivyo!?Ebu tushirikishe hekima na busara zako!?Ikitokea mtu anishawishi kuolewa na hadi nishawishike kuolewa basi muoaji awe mwanaume pacha ambaye wamezaliwa pacha 3 na pacha wenzake 2 wawe wa kike yeye ambaye ndo anishawishi kuniona awe wa kiume. Na wakati ananishawishi kunioa hao pacha wenzake 2 wawe walishaolewa na bado wako kwenye ndoa zao na wawe na watoto si chini ya 3 kila mmoja.
Hapo ndo ntasema YES... I DO.... I WILL MARRY YOU.....
Vinginevyo..... I enjoy being senior single granny.
Kasie.
Teh teh eti eeeWangeishi na nyumba pacha kabisa ili muingiliano uwe mzuri zaidi!
Kiswahili hiki tabu tupuhuo nimtizamo 2 wakila m2 anavyopangiria mambo yke ww ujawai kuona m2 anajenga nyumba yke hila anakosorewa?
Ukishajua agenda yko ni ipi?we ni ke au me
na mm niko napacha wangu na tuna ndoto kama hiyo so ningependa nijue ili tuunganishe ndoto zetu.Ukishajua agenda yko ni ipi?
Nitakutafutana mm niko napacha wangu na tuna ndoto kama hiyo so ningependa nijue ili tuunganishe ndoto zetu.