Mkuu upo ara? Nilikuwa mteja wa maeneo hayo nilipokuwa huko. Ila wahudumu wa hapo wako uchi mno!
Nyumbani sijawahi kuwa na house girl, we kula huko shiba ila ujue ukija nyumbani lazima umalize sahani nzima ya ugali wa mtama, hii sheria imenisaidia hata kama anakula nyumbani lazima ale.
wanawake wa siku hizi hawafahamu kupika na kama wanafahamu ni wajeuri wanakesha facebook, JF etc. Bora kula bar ambapo unakaribishwa vizuri na kwa bashasha na wahudumu
Nyumbani sijawahi kuwa na house girl, we kula huko shiba ila ujue ukija nyumbani lazima umalize sahani nzima ya ugali wa mtama, hii sheria imenisaidia hata kama anakula nyumbani lazima ale.
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.
wanawake wa siku hizi viburi mtupu, nilioa mwanamke ukimuamsha asubuhi apike chai hataki, ukirudi mchana kula ukifika ndipo anatoa jiko la mkaa kuwasha moto nikatimua. aliyepo sasa ukimwambia kuamka achemshechai ugomvi, sasa nakunywa hotel,
mhhh
ss unatak cha nan
na extra services unapata kwa bei poawanawake wa siku hizi hawafahamu kupika na kama wanafahamu ni wajeuri wanakesha facebook, JF etc. Bora kula bar ambapo unakaribishwa vizuri na kwa bashasha na wahudumu