Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,082
Kwa nini umeniwahi? Turudie bana^^
Chakula cha house girl sio kitamu
^^
wanawake wa siku hizi hawafahamu kupika na kama wanafahamu ni wajeuri wanakesha facebook, JF etc. Bora kula bar ambapo unakaribishwa vizuri na kwa bashasha na wahudumu
wanawake wa siku hizi hawafahamu kupika na kama wanafahamu ni wajeuri wanakesha facebook, JF etc. Bora kula bar ambapo unakaribishwa vizuri na kwa bashasha na wahudumu
Maisha ya U-bachelor hayawezi kufutika kwa mwanaume.
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.
.....ha ha ha mkuu nakupa mia!!!!
.....niko hapa thepicnic na nyumba ndogo dadadek matamthilia kwa kwenda mbele.....