Wanaume kwanini mna tabia mbaya?

Wakati mwingine inatulazimu ingawa weng wetu hatupend hiyo tabia,Mwanamke badala ya kuamka mapema amuandalie Mme wake breakfast,anaamka saa 2/3 na inatakiwa huo muda uwe umeishafika kazin ulipoajiriwa au ulopojiajir,hapo unategemea nini?,Usingiz kwa wengine ni ugonjwa usio na tiba,Mwanamke unamnunulia unga wa ngano lakin ataacha kuaandalia chapat,mandaz,mkate au chochote kitakachofaa ataenda kukunulia vya Mgahawan au Hotelin,kitu ambacho wengine hatupend,ngoja bas tuvifuate huko anapovifuata,sababu nyingine ni mapish,Wanawake wengi wao hawajui kuandaa chakula vizur,wengi ni wachoyo au ukimuachia pesa ya matumiz unachokikuta ni tofauti kabisa

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Ujue kweli .mm kuna sehem huwa tunakula mchana nawafanyakazi wenzangu ..kila siku tunakula ugali nakuku wakurost tena wakienyeji sasa kuna siku tukauliza jamani huko majumbani wanatoto wanakula waha kuku wakienyeji? Tulikosa jibu tukaishia kuchekatu.

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Mpaka aibu watoto wenu wanakula wale kuku wa wiki 2 na mayai ya kuku wakisasa hapo mnategemea wawe na akili timamu hao watoto wenu mnatoa mpaka ofa huko

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Dah hatari sana ndo hivo .

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Haaa haa huyo kwao hakuna samaki kazoea kununua wale wa barabarani huyo mzima hamjui kumtengeneza, mf.watu wengi wananunua kuku za vipande hawajui kumtengeneza kuku mzima sasa mpelekee kuku mzima au nazi kama hajalitumbukiza lote kwenye sufuria la mchele

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Hahahah, hiyo nazi lazima iive kwa lazima.
Wadada lazima wajifunze kujiongeza. Sie watu wanapenda mgahawa ila huo ubwabwa utapikwa utadhani umepikiwa kwenye mchanga
 
Inakuwaje unaacha kunywa chai kwako unaenda kunywa chai hotelini ,unakunywa chai ya maziwa kwanini usinunue kwako maziwa mkeo akapika mkanywa na wanao,,,hujisikii vibaya wala kujishtukia au kujishuku?
Sio jambo jema kabisa,na sio haki yaan wanawake hebu kuweni wakali kabisa waume zenu muwabane wawe wanakunywa chai home kama ni ya rangi mnywe wote,,,halaf muwadai pesa za matumizi waongeze wenzenu wanatanua huko bar bill kubwa laki au zaidi we unakunywa chai ya rangi mnywe chai ya rangi kwa kupenda n mle vizuri

Wanaume na nyie acheni ubahili kama mnavyoonyesha ubavu na ujeuri wa pesa bar,tunawaomba na majumbani mwenu muanze hiyo jeuri muache matumizi ya kutosha watoto wale vizurii, sio watoto kula vizuri mpaka matumbo yanapata mshituko maana hayajazoea kula vyema
Pendeni familia zenu basi ,,wanasema family first
mkiwa bar utasema nyumbani pako vyema ,ukienda nyumbani hovyoo hovyo watoto wanakula kwa kulamba lamba tu hawashibi sio vizuri kabisa
Nadhani nimeeleweka na mjirekebishe mle hotelin kwa sababu maalumu alaa
Hata kama upo ktk Ndowa usiamini na usiwaaminishe wengine kuwa furaha ipo nyumbani peke yake
Unajuwa kuna Mda inabidi ubadilishe mazingira chanya na watu wa mlengo chanya wa kufurai nawo
N B , hiyo (hilo) lifanywe na mwanaume tuu na si kwa mwanamke wala mtoto .

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kuna mazingira ambayo kweli yanafanya mtu ashindwe kunywa chai nyumbani asubuhi...

Sidhani kama kweli mwanaume anaweza kaa na kikombe saa kumi na mbili labda na nusu huku anatakiwa awahi ofisini, kwa mie pia Siwezi kabisaa.... Chai nanywa saa nne kazini nyumbani hata iwe tayari Siwezi....

Ni vyema tuu wawe wanashiriki chakula cha jioni na familia na kuhusu hela, mwanaume anaejitambua naamini lazima aache matumizi ya kutwa nzima na wengine hufanya manunuzi ya mwezi mzima.... Nasisitiza wapo wanaume wanaojali mnoo familia zao, suala la kunywa chai asubuhi kwa kweeli huwashinda weengi, halafu ukute maza house amelala beki tatu ndo anaandaa chai....
Sakayo ushaolewa?
 
Mkiacha kiburi/kero na kupika kwa kulipua lipua na on time basi chakula cha mke kitakuwa kitamu kweli kweli...wanaume tunaboreka sana na mke anayekwaza...embu jaribu kuwa simple usie na mauzi hlf pika on time ...ulete mrejesho

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahahah, hiyo nazi lazima iive kwa lazima.
Wadada lazima wajifunze kujiongeza. Sie watu wanapenda mgahawa ila huo ubwabwa utapikwa utadhani umepikiwa kwenye mchanga
Haaa hatari unamfundusha ikibidi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom