Wanaume kwanini mna tabia mbaya?

Wanaume kwanini mna tabia mbaya?

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,618
Reaction score
27,596
Inakuwaje unaacha kunywa chai kwako unaenda kunywa chai hotelini ,unakunywa chai ya maziwa kwanini usinunue kwako maziwa mkeo akapika mkanywa na wanao,,,hujisikii vibaya wala kujishtukia au kujishuku?
Sio jambo jema kabisa,na sio haki yaan wanawake hebu kuweni wakali kabisa waume zenu muwabane wawe wanakunywa chai home kama ni ya rangi mnywe wote,,,halaf muwadai pesa za matumizi waongeze wenzenu wanatanua huko bar bill kubwa laki au zaidi we unakunywa chai ya rangi mnywe chai ya rangi kwa kupenda n mle vizuri

Wanaume na nyie acheni ubahili kama mnavyoonyesha ubavu na ujeuri wa pesa bar,tunawaomba na majumbani mwenu muanze hiyo jeuri muache matumizi ya kutosha watoto wale vizurii, sio watoto kula vizuri mpaka matumbo yanapata mshituko maana hayajazoea kula vyema
Pendeni familia zenu basi ,,wanasema family first
mkiwa bar utasema nyumbani pako vyema ,ukienda nyumbani hovyoo hovyo watoto wanakula kwa kulamba lamba tu hawashibi sio vizuri kabisa
Nadhani nimeeleweka na mjirekebishe mle hotelin kwa sababu maalumu alaa
 
Una hakika wewe ni mke wa ndoto yake? Kipenzi cha roho yake?! Au amekuoa kwa kufuata uhalisia sio hisia.! Kama uliolewa kwa uhalisia kwamba imefikia kipindi jamaa anataka mke mwenye sifa fulani nawe ukaangukia hapo pole..!!!
je una hakika hao watoto ni wake?
sabbu kama uliwatafuta kwingine ili yeye awakuze na kuwatunza ingali ukijua kuwa baba mhusika wa watoto yupo. (wanawake mnalijua hili)
sio wanaume wote wana ujasiri wa kukuambia zaidi utaona vitendo tu..
mwisho jiongeze changamsha akili yako sio wanaume wengi now days wanapenda magolikipa walio mabingwa wa kudaka.!
unachokipata shukuru kikubwa usilale njaa.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
u
Inakuwaje unaacha kunywa chai kwako unaenda kunywa chai hotelini ,unakunywa chai ya maziwa kwanini usinunue kwako maziwa mkeo akapika mkanywa na wanao,,,hujisikii vibaya wala kujishtukia au kujishuku?
Sio jambo jema kabisa,na sio haki yaan wanawake hebu kuweni wakali kabisa waume zenu muwabane wawe wanakunywa chai home kama ni ya rangi mnywe wote,,,halaf muwadai pesa za matumizi waongeze wenzenu wanatanua huko bar bill kubwa laki au zaidi we unakunywa chai ya rangi mnywe chai ya rangi kwa kupenda n mle vizuri

Wanaume na nyie acheni ubahili kama mnavyoonyesha ubavu na ujeuri wa pesa bar,tunawaomba na majumbani mwenu muanze hiyo jeuri muache matumizi ya kutosha watoto wale vizurii, sio watoto kula vizuri mpaka matumbo yanapata mshituko maana hayajazoea kula vyema
Pendeni familia zenu basi ,,wanasema family first
mkiwa bar utasema nyumbani pako vyema ,ukienda nyumbani hovyoo hovyo watoto wanakula kwa kulamba lamba tu hawashibi sio vizuri kabisa
Nadhani nimeeleweka na mjirekebishe mle hotelin kwa sababu maalumu alaa
Upo sahihi Mkuu
 
Massive attack..

Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom