Wanaume kwa wanawake tutake responsibility kwenye kufanya mapenzi.

Wanaume kwa wanawake tutake responsibility kwenye kufanya mapenzi.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,260
Katika moja ya mambo yaliyoyabadilisha maisha ya watu wengi basi ni haka kamchezo ka kitandani.

Wewe mwenyewe fikiria jinsi kitendo cha dakika 30 kilivyoyabadilisha maisha yako yote. Ieleweke maisha yanaweza kubadilika positively or negatively.

Wengi wameishia kuoa/kuolewa na wenza wasiowataka kisa tu sex ya siku moja, wengine wamepata magonjwa ya kudumu kisa tu sex ya siku moja, wengine wameachwa na mtoto kisa tu sex ya siku moja na leo aliyekuacha anakuita single mom na wengine wametoa mimba kisa tu kasex ka siku moja. In short, sex ya 30mins imeweza kuyabadilisha maisha ya watu wengi saana.

Ni kwa bahati mbaya saana bado jamii zetu tutake tusitake bado zinaamini mwanamke ndiye mwenye maamuzi yote kwenye sex...na hii inatugharimu kila siku. Hili ni jukumu la kila mtu.

Ukiwaza kufanya mapenzi na mtu libebe hili jukumu hasa kwa uzito unapoamua kufanya bila kutumia Kondomu....Beba jukumu la kujua utaweza kumpa ujauzito, Beba jukumu la kujua unauweza kubeba au kumpa mwenzio magonjwa....

Ai nadra kuskia lakini hukuniambia nivae mpira, lakini lilikuwa jukumu lako pia kuhakikisha unafanya ngono salama.

Majukumu ya sex sio ya mwanamke tu la sivyo ngono itaendelea kuyabadilisha maisha yetu au dada zetu negatively.
 
Hizo hatari ulizozitaja madhara yake ni kidogo National wise kuliko watu kutozaliana.

Maisha na Dunia ni watu,Mwenyezi Mungu aliyetuumba alitulete duniani kuzaliana na kumsifu.kutumia kondomu kutasababisha watu wasizaliwe.
 
Sasa kama yupo "danger" na anajua ni hatari kwake kufanya ngono, ananiletea mimi nifanyeje?

Namuuliza vipi tunaweza tembelea rim, anajibu ndio...manake anajua yupo danger lakini hataki tutumie kinga, kwa nini nisitembelee rim?

Kwa sisi tulio na allergy na ndom nikisikia hayupo danger nanyanyua kwapa kwa furaha🤣

Sema nini, we don't take risks, tunatupia wazungu kifuani au trakoni ili kuondoa ule usumbufu wa 'baby siku zangu zimepotea"!

Binafsi ndom sitaki, ndio maana kama kutembeza hovyo nakuwa mzito sana 🤣
 
Shida ni huyu dogo Abdallah kichwa. Kumdhibiti kazi kweli kweli yaani. Akishachemka anazima kabisa reasoning capacity ya Medula Oblongata unasahau kila kitu. Ile unamaliza mchezo na akili zinakurudia ndo sasa kimbembe kinaanza. Kwa nini sikuvaa kinga? Vipi kama ana magonjwa? Uwii pengine nimepata UKIMWI leo. Vipi nikimpa ujauzito huyu? Pisi yenyewe wala siyo kali kihivyo (hata kama ni kali ajabu). Majuto kama yote.....

Homo Sapiens sisi basi tu [emoji16]
 
Hizo hatari ulizozitaja madhara yake ni kidogo National wise kuliko watu kutozaliana.

Maisha na Dunia ni watu,Mwenyezi Mungu aliyetuumba alitulete duniani kuzaliana na kumsifu.kutumia kondomu kutasababisha watu wasizaliwe.
Ila mwenyezi Mungu huyo huyo aliweka sheria na namna ya kufanya mapenzi.

Nimeona watu wengi saana maisha yao yamebadilika kwasababu ya kutokufanya maamuzi. Inwezekana wewe ni mmoja wao.

Takwimu zinaonyesha kati ya wanaume 10 Tz basi watatu waliambiwa ninaujauzito wakaanza stories.
 
Kufanya mapenzi kuna madhara zaidi kwa mwanamke kuliko kwa mwanaume. Iwe kiakili, kimwili, kiuchumi, au kijamii. So kwangu, uzito wa jukumu unamwangukia mwanamke. That's what I'll teach my daughter(s) when the time comes.
 
Tatizo nyege na moyo vikitawala tunasahau Kila kitu aseeeh
 
Ni raha sana kufanya mapenz na mpenz anayekuhudumia vyema kimaisha,atachoka yeye maana namwita kila Mara yaan kila nikimfikiria ni nyege kama zote

Oouh...unamaanisha nini anayekuhudumia vyema kimaisha?
 
Oouh...unamaanisha nini anayekuhudumia vyema kimaisha?
Mi kama hela sina bas na nyege sina kabisa...akumbuke kulea familia nami mwili utakuwa umerelax sina mawazo ya kuzidiwa kimajukumu
 
Sasa kama yupo "danger" na anajua ni hatari kwake kufanya ngono, ananiletea mimi nifanyeje?

Namuuliza vipi tunaweza tembelea rim, anajibu ndio...manake anajua yupo danger lakini hataki tutumie kinga, kwa nini nisitembelee rim?

Kwa sisi tulio na allergy na ndom nikisikia hayupo danger nanyanyua kwapa kwa furaha[emoji1787]

Sema nini, we don't take risks, tunatupia wazungu kifuani au trakoni ili kuondoa ule usumbufu wa 'baby siku zangu zimepotea"!

Binafsi ndom sitaki, ndio maana kama kutembeza hovyo nakuwa mzito sana [emoji1787]

Mkuu mwanamke akiwa siku za hatari, mwili wake huwa wa Moto sana na anakuwa anahitaji mwanaume kwa kiwango kikubwa sana .. ndo maana anakuangalia tu unapiga alafu baadae anakupa taarifa kuwa umepiga siku mbaya !! Kama uko timamu atumie P2
 
Kufanya mapenzi [emoji846], raha kushinda raha zote chini ya hili jua....Mungu atujaalie afya na nguvu tuendelee kufanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekushindwaaa,. Sikuweziiii.
 
Ni raha sana kufanya mapenz na mpenz anayekuhudumia vyema kimaisha,atachoka yeye maana namwita kila Mara yaan kila nikimfikiria ni nyege kama zote
😂😂😂😂Mshenz wew utanivunja mbavu
 
Back
Top Bottom