Wanaume kwa kuvumisha mambo ni kiboko

Wanaume kwa kuvumisha mambo ni kiboko

we tulia ni mapema sana sana subiri miaka miwili au mmoja body immunity ishuke utuletee mrejesgo. kwa sasa bado mwili una nguvu hivo vijidudu havijasambaa. umesoma sayansi kweli? una umri gan na uko mkoa gani kwanza. uwezekano wa wewe kukosa ukimwi kwa huyo mwanamke upo ila ukasali sali na uache uchoko kwani inakuuma nini fata yako jinga. ww kama ni. ukweli vitu visisemwe.
 
Habari wanajamvi?

Jamani hivi ni kwanini wanaume tuna mambo ya kuvumisha mambo ya kuzushi? Mtu unaamua tu kuvumisha mambo, kwa mfano mtaani unaweza ukakuta kuna dada au msela anavumishiwa habari kwamba ana HIV, lakini hakuna alompima.

Mfano mimi kuna dada nilishawahi kufanya nae mapenzi mara mbili tena pekupeku zote na kuna siku alilala kwangu hadi asubuhi na ndio nilimsugua sana mana nlimchapa mabao kadhaa, nilimsugua kweli yani, baada ya wiki nikapata habari kwamba kaungua.

Yaani nilikosa raha wiki nzima, nikaamua kwenda kupima, nimepima mara tano na mara ya mwisho nimepima tarehe 7 april mwaka huu, lakini nipo safi tu na damu yangu ni A- sasa najiuliza, hivi angekuwa kaungua si angeshaniambukiza? Wanaume bwana tunavumisha, tunazusha na kueneza habari mbaya za uongo sana na sijui unakuwaje mtu unavumisha taarifa mbovu za uvumi na uzushi kuhusu mwenzako.
Washika mic a.k.a microphone murderer mna tabu.
Sasa story yako mbona haina uhusiano na Kichwa cha habari?

Hizo Bangi unazovuta ni stimu za kulanduka, kama siyo fani yako utaumbukaaaaaa.........
 
We Pima sanaa tu utakuta unachokitafuta one day
 
Kuwa makini na maelezo yako usichafue taaluma za watu wewe. Wataalam wanakuona.

sired zako zaonesha wewe ni MUHUNI sana by the way kupima kuna vipimo vya aina 2 cha kwanza majibu yake huwaga tata unaweza ukawa nao ila chenyewe kinakuambia HUNA au unaweza ukawa huna kweli chenyewe kitakwambia UNAO,. Na kipimo kingine 2 hiki huwaga ni FINAL ANSWER jibu litolewalo hapa huwa ni kweli hata ufanyaje,. so kama umepima kipimo cha kwanza nenda na cha pili hiko majibu ni sahh na ukae miez 3 urud upime hichohicho alaf ulete mrejesho hapa sio kuleta mbwembwe hapa za kujitapa unajua kukuna wanawake kumbe chips kavu tu wewe,.
 
Nadhani unawaongelea wanaume wa mtaani kwenu...!usipende kujumlisha wote.shika adabu yako.
 
Habari wanajamvi?

Jamani hivi ni kwanini wanaume tuna mambo ya kuvumisha mambo ya kuzushi? Mtu unaamua tu kuvumisha mambo, kwa mfano mtaani unaweza ukakuta kuna dada au msela anavumishiwa habari kwamba ana HIV, lakini hakuna alompima.

Mfano mimi kuna dada nilishawahi kufanya nae mapenzi mara mbili tena pekupeku zote na kuna siku alilala kwangu hadi asubuhi na ndio nilimsugua sana mana nlimchapa mabao kadhaa, nilimsugua kweli yani, baada ya wiki nikapata habari kwamba kaungua.

Yaani nilikosa raha wiki nzima, nikaamua kwenda kupima, nimepima mara tano na mara ya mwisho nimepima tarehe 7 april mwaka huu, lakini nipo safi tu na damu yangu ni A- sasa najiuliza, hivi angekuwa kaungua si angeshaniambukiza? Wanaume bwana tunavumisha, tunazusha na kueneza habari mbaya za uongo sana na sijui unakuwaje mtu unavumisha taarifa mbovu za uvumi na uzushi kuhusu mwenzako.
Ni nyie tu wa Dar..sio wote tuko hivyo
 
Jipe moyo hivyo hivyo
 
Watu wanaroho ngumu,ulipima kina cha maji kwa mguu,halafu unajisifia,ngoja ngoma ibume ndiyo utajua umuhimu wa condom
 
we tulia ni mapema sana sana subiri miaka miwili au mmoja body immunity ishuke utuletee mrejesgo. kwa sasa bado mwili una nguvu hivo vijidudu havijasambaa. umesoma sayansi kweli? una umri gan na uko mkoa gani kwanza. uwezekano wa wewe kukosa ukimwi kwa huyo mwanamke upo ila ukasali sali na uache uchoko kwani inakuuma nini fata yako jinga. ww kama ni. ukweli vitu visisemwe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mbona jazba hivyo mkuu!?
 
Habari wanajamvi?

Jamani hivi ni kwanini wanaume tuna mambo ya kuvumisha mambo ya kuzushi? Mtu unaamua tu kuvumisha mambo, kwa mfano mtaani unaweza ukakuta kuna dada au msela anavumishiwa habari kwamba ana HIV, lakini hakuna alompima.

Mfano mimi kuna dada nilishawahi kufanya nae mapenzi mara mbili tena pekupeku zote na kuna siku alilala kwangu hadi asubuhi na ndio nilimsugua sana mana nlimchapa mabao kadhaa, nilimsugua kweli yani, baada ya wiki nikapata habari kwamba kaungua.

Yaani nilikosa raha wiki nzima, nikaamua kwenda kupima, nimepima mara tano na mara ya mwisho nimepima tarehe 7 april mwaka huu, lakini nipo safi tu na damu yangu ni A- sasa najiuliza, hivi angekuwa kaungua si angeshaniambukiza? Wanaume bwana tunavumisha, tunazusha na kueneza habari mbaya za uongo sana na sijui unakuwaje mtu unavumisha taarifa mbovu za uvumi na uzushi kuhusu mwenzako.
Mkuu uvumi huwa upo lakini fuatilia zaidi... nini chanzo...
Kwani kuna tafiti zina sema wazi kua hizi Arv zina faida.
mwanamke akiwa anatumia ARVs sio rahisi kumwambukiza mtu.[emoji85]

So dawa ni wewe na yeye kupima tu. Kwa uhakika zaidi...
 
Back
Top Bottom