Wanajamvi hi kwenu eti kna mwanaume tulikuwa tunakaa jirani nyumba ya kupanga kama miaka 6 iliyopita. Kipindi hicho alinitongoza akitaka tuu papuchi na siyo otherwise mie mkakataa na baadae mkaondoka kabisa kwenye ule mji nkaamia mkoa mwingine wa mbali. Kipindi hicho tukawa tunasalimiana lakini siyo mara nyingi saa nyingine tunakaa miezi 6 au mwaka bila kuwasiliana. Siku tuu nkamkumbuka nkampoigia simu kumpa hi! Akampa mama watoto wake akaanza kinioji maswali nkamjibu tu vema tukaishia hapo. Baada ya hapo nkashika adabu sikutaka tena kuendelea kuwasiliana nae. Cha ajabu majuzi ananipigia cm eti kanimiss na kuniuliza naenda mji anaoishi lini mi mkamwambia siku maana nlikuwa na safari ya kuja huko anaanza kunambia mbona hukuniambia ka unakuja nkupokee stand? Nkashangaa nkamwambia kwani vipi mbona una mujasiri wife yuko wapi hakunipa jibu direct ila inaonyesha wametengana maana amekuwa anaongea kimahaba lakini mi naendelea kumheshimu kama mume wa mtu. Ushauri kwenu mnapokosana na wake zenu jipeni muda wa kufanya matengenezo na siyo kutafuta mbadala.