Wanaume kwa kutafuta mbadala mmezidi

Siande

Senior Member
Aug 29, 2013
194
58
Wanajamvi hi kwenu eti kna mwanaume tulikuwa tunakaa jirani nyumba ya kupanga kama miaka 6 iliyopita. Kipindi hicho alinitongoza akitaka tuu papuchi na siyo otherwise mie mkakataa na baadae mkaondoka kabisa kwenye ule mji nkaamia mkoa mwingine wa mbali. Kipindi hicho tukawa tunasalimiana lakini siyo mara nyingi saa nyingine tunakaa miezi 6 au mwaka bila kuwasiliana. Siku tuu nkamkumbuka nkampoigia simu kumpa hi! Akampa mama watoto wake akaanza kinioji maswali nkamjibu tu vema tukaishia hapo. Baada ya hapo nkashika adabu sikutaka tena kuendelea kuwasiliana nae. Cha ajabu majuzi ananipigia cm eti kanimiss na kuniuliza naenda mji anaoishi lini mi mkamwambia siku maana nlikuwa na safari ya kuja huko anaanza kunambia mbona hukuniambia ka unakuja nkupokee stand? Nkashangaa nkamwambia kwani vipi mbona una mujasiri wife yuko wapi hakunipa jibu direct ila inaonyesha wametengana maana amekuwa anaongea kimahaba lakini mi naendelea kumheshimu kama mume wa mtu. Ushauri kwenu mnapokosana na wake zenu jipeni muda wa kufanya matengenezo na siyo kutafuta mbadala.
 
we si useme ukweli tu kwamba unataka kuziba gap,.

''chenga nyingi za nini''
 
Wanajamvi hi kwenu eti kna mwanaume tulikuwa tunakaa jirani nyumba ya kupanga kama miaka 6 iliyopita. Kipindi hicho alinitongoza akitaka tuu papuchi na siyo otherwise mie nikakataa na baadae nikaondoka kabisa kwenye ule mji nkaamia mkoa mwingine wa mbali.
Yaani kutongozwa na mume wa mtu halafu ukakataa ndo kukufanye uhame mji moja kwa zote?

Kipindi hicho tukawa tunasalimiana lakini siyo mara nyingi saa nyingine tunakaa miezi 6 au mwaka bila kuwasiliana. Siku tuu nkamkumbuka nkampoigia simu kumpa hi! Akampa mama watoto wake akaanza kinioji maswali nkamjibu tu vema tukaishia hapo. Baada ya hapo nkashika adabu sikutaka tena kuendelea kuwasiliana nae.
Unaonyesha ulikuwa umemkumbuka na kummiss sana ila ulishtushwa na uamua ambao aliutumia wa kumpa mkewe simu aongee na wewe. Huenda ulidhani ndo wakati wa kumaliza shida zako na mengine ya moyoni ila pole sana dada yangu.

Cha ajabu majuzi ananipigia cm eti kanimiss na kuniuliza naenda mji anaoishi lini mi mkamwambia siku maana nlikuwa na safari ya kuja huko, anaanza kunambia mbona hukuniambia ka unakuja nkupokee stand?
Kama ulimkataa yanini uwe na wivu naye tena isitoshe ulishagundua ameoa?

Au ulitaka asiwasiliane na wewe tena kisa alimpa mkewe simu muongee nae? Au kukuuliza unakuja lini kumsalimia alikosea?

Ushauri kwenu mnapokosana na wake zenu jipeni muda wa kufanya matengenezo na siyo kutafuta mbadala.
Ushauri wangu kwako
Unapokumbukwa na mtu aliyekutongozaga enzi za nyuma jisikie amani na kuwa comfartable kwani sio muda wote anataka jibu la lile ombi alilokuomba, huenda amepata hofu juu yako ndo maana ametaka kukujulia hali.
 
Yaani kutongozwa na mume wa mtu halafu ukakataa ndo kukufanye uhame mji moja kwa zote?

Unaonyesha ulikuwa umemkumbuka na kummiss sana ila ulishtushwa na uamua ambao aliutumia wa kumpa mkewe simu aongee na wewe. Huenda ulidhani ndo wakati wa kumaliza shida zako na mengine ya moyoni ila pole sana dada yangu.

Kama ulimkataa yanini uwe na wivu naye tena isitoshe ulishagundua ameoa?

Au ulitaka asiwasiliane na wewe tena kisa alimpa mkewe simu muongee nae? Au kukuuliza unakuja lini kumsalimia alikosea?

Ushauri wangu kwako
Unapokumbukwa na mtu aliyekutongozaga enzi za nyuma jisikie amani na kuwa comfartable kwani sio muda wote anataka jibu la lile ombi alilokuomba, huenda amepata hofu juu yako ndo maana ametaka kukujulia hali.

kuna kipindi nlimpigia kumsalimia hakupokea simu ndo maana sikuwasiliana nae tena kuhusu kuhama mji mi nilihama tu kwa issue zangu binafsi siyo kumkimbia.
 
usinipe pole sijawahi hata kumuwaza kuhusu kupunguza haja zangu ila tu ni jinsi alivyoanza kuwasiliana nami kwa kasi ila simuhitaji hata kidogo
 
Mbona unatangatanga na kubadili maelezo yako mwenyewe?

Hebu soma hapo chini nilipo-bold kwa rangi NYEKUNDU na BLUE halafu u-relate na maelezo yako hapo juu.

Kaa chini na uanze kutunga story nyingine kwa maana hii umekosea kuitunga.

Kipindi hicho tukawa tunasalimiana lakini siyo mara nyingi saa nyingine tunakaa miezi 6 au mwaka bila kuwasiliana. Siku tuu nikamkumbuka nkampigia simu kumpa hi! Akampa mama watoto wake akaanza kinioji maswali nkamjibu tu vema tukaishia hapo.Baada ya hapo nkashika adabu sikutaka tena kuendelea kuwasiliana nae.
 
usinipe pole sijawahi hata kumuwaza kuhusu kupunguza haja zangu ila tu ni jinsi alivyoanza kuwasiliana nami kwa kasi ila simuhitaji hata kidogo

Wewe si ndo ulikua wakwanza kumkumbuka na kumpigia ila ukakutana na usiyoyatarajia.

Au mimi ndo nimekosea kusoma hapo chini kwenye Bold?
Kipindi hicho tukawa tunasalimiana lakini siyo mara nyingi saa nyingine tunakaa miezi 6 au mwaka bila kuwasiliana. Siku tuu nikamkumbuka nkampigia simu!!.
 
Wanajamvi hi kwenu eti kna mwanaume tulikuwa tunakaa jirani nyumba ya kupanga kama miaka 6 iliyopita. Kipindi hicho alinitongoza akitaka tuu papuchi na siyo otherwise mie mkakataa na baadae mkaondoka kabisa kwenye ule mji nkaamia mkoa mwingine wa mbali. Kipindi hicho tukawa tunasalimiana lakini siyo mara nyingi saa nyingine tunakaa miezi 6 au mwaka bila kuwasiliana. Siku tuu nkamkumbuka nkampoigia simu kumpa hi! Akampa mama watoto wake akaanza kinioji maswali nkamjibu tu vema tukaishia hapo. Baada ya hapo nkashika adabu sikutaka tena kuendelea kuwasiliana nae. Cha ajabu majuzi ananipigia cm eti kanimiss na kuniuliza naenda mji anaoishi lini mi mkamwambia siku maana nlikuwa na safari ya kuja huko anaanza kunambia mbona hukuniambia ka unakuja nkupokee stand? Nkashangaa nkamwambia kwani vipi mbona una mujasiri wife yuko wapi hakunipa jibu direct ila inaonyesha wametengana maana amekuwa anaongea kimahaba lakini mi naendelea kumheshimu kama mume wa mtu. Ushauri kwenu mnapokosana na wake zenu jipeni muda wa kufanya matengenezo na siyo kutafuta mbadala.
aagh sista! Inawezekana wewe alikuzimia sana lkn wewe ndo ulimzingua. Ucjaali hata kama kaachana na wife wake jaribu kumsikiliza maana inaonekana bado uko kwenye akili yake.
 
Wewe si ndo ulikua wakwanza kumkumbuka na kumpigia ila ukakutana na usiyoyatarajia.

Au mimi ndo nimekosea kusoma hapo chini kwenye Bold?

baada ya kuongea na mke wake nlimpigia mara moja hakupokea na sikuwahi kumtafuta tena kwani hatukuwa na mazoea ya kuwasiliana ni pale tu unapokagua cm unakutana na mtu na kuamua kumsalimia au kifurushi kimesalia ukaanza kumtafuta mtu wa kumpigia ka zali hivi. Kuongea na mke haikuwa na shida kwangu kwani sikuwahi kuwa na mahusiao yoyote nae. Hata hivyo sijamweleza marital stutus yangu maana haifahamu nataka nione mwisho wa hwa viumbe ntawapa mrejesho vyovyote itakavyokua
 
Mbona unatangatanga na kubadili maelezo yako mwenyewe?

Hebu soma hapo chini nilipo-bold kwa rangi NYEKUNDU na BLUE halafu u-relate na maelezo yako hapo juu.

Kaa chini na uanze kutunga story nyingine kwa maana hii umekosea kuitunga.

ni mada ya ukweli sijatunga
 
Wewe mpeleka hilo tunda akalile tu biashara za yeye na mkewe hazikuhusu.
 
unataka kujitoa sadaka sema unatafta mbinu ya kujikabidhi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom