Wanaume kwa kutafuta mbadala mmezidi

Wanaume kwa kutafuta mbadala mmezidi

Inaonekana wewe unampenda huyo jamaa na ulijuaje kwamba jamaa kaachana na mkewe,
kwa kuwa wewe unampenda basi sasa ni nafasi yako kujaza ile nafasi iliyoachwa wazi.
 
sipati picha karoho kalivyouma ulivyoongea na mdada...
 
 
Last edited by a moderator:
^^
Mtoto anaenda kula wali kwa jirani, huku analalamika kula kwa watu ni vibaya!
^^
 
Back
Top Bottom