Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
Hahahaha#Be the Joseverest to comment#
Hahahaha#Be the Joseverest to comment#
Wengi wanasemaga uzuri wa nyumba choo chake. Hahaha...Pole sana, ndio asili yetu kutamani neema za uumbaji...Kwa hiyo usife moyo, ridhika na ulichonacho na usijaribu kwenda kuboost utaishia kupata madhara bure!!!
kweli kabisa mkuuWengi wanasemaga uzuri wa nyumba choo chake. Hahaha...
Ndiyo hivyo mkuuha ha ha miss chaga we kiboko.. eti natembeaga najitikisa mgongo...
Skin jeansmwendo wa madela
Swala upendo liache tuSidhani kwamba ndo upendo huo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jiamini flat inaraha yake mkuu mi natembega najitikisa mgongo na wananihonga
Tehe heheheeehee!ndo hivyo tena jazwa ujazwe hahahahah
Bwahahaahahahaaa!mwanamke tako tabia peleka ukweni
Mmmh namimi nataka kukuhongaSwala upendo liache tu
Mkuu kwa nini umenichekesha hivi??aliyebuni jf abarikiwe mweeehhh.mwanamke tako tabia peleka ukweni
HayaMmmh namimi nataka kukuhonga
Nianze na sh ngapiHaya
msitulaumu bure huo ndo udhaifu wetu na nyie wanawake mkishajua tunataka nini mue mnajiongeza basi ...tumieni hata ya mchina vaeni hata spongi hata kama tutakuja kujua mna makalio feki tutawavumilia tu maana hakuna namnaKinachoniuma zaid kuna mtu alimuacha mke wake kisa kapata mwanamke mwngne mwenye msambwanda na alitamka hadharan kabsa sababu ya kumuacha mkewe kua hana tako hvyo hawez shika mifupa, aiseee nkiikumbuka ile cku hua inaniuma sn na yule mama mpk alipata bp maskn, wanaume wabaya kwenye misambwanda mnachanganyikiwa kabsaa
Hahahhahaa nyie si mnamvunja moyoUnamshauri mwenzako vibaya ujue, mwishowe apate na kitambi bure + flat ndo iwe balaa mara mbili. Kama Mungu hajampa huo msambwanda atulie tu, tuko sisi tusiopenda hiyo misambwanda tutamuona.[emoji2] [emoji2]