Wanaume kuweni na huruma kidogo

Wanaume kuweni na huruma kidogo

Vumilia kila kitu kitapita hata Tv za chogo zilikuwa na soko, Flat screen zikaja kupindua jahazi...
Tutaanza kupaenda Wenye Vichwa vikubwa [emoji4][emoji4]
 
Pole mkuu..! ndio hali halisi Msabwanda mkubwa una fleva yake. Tena ukutane na anaeijua shughuli sasa...!
 
Habari wanajukwaa, polen na majukum.
Niende moja kwa moja mwenye topic,.
N kuhusu wanaume wa siku hz kupenda wanawake wenye misambwanda mikubwa kiukweli sisi ambao hatuna misambwanda tunaumia sn, kwan hao wenye misambwanda mikubwa wana tofauti gan na sisi wenye misambwanda midogo? Utakuta upo na mumeo ila akiona tu msambwanda mkubwa umepita lazma ageuke na anabadilika kabsa sura cjui anakua anapata hisia gan sijui, yaan mnatufanya mpk tunaanza kujiingiza kwenye kuanza kuyabust mwisho wa cku tunaishia kutumiwa bila kuwekwa ndan na michina yetu. Huu si uungwana kabsa hebu badiliken wanaume
Wanaume tulio wengi tunapenda sana misambwanda kwa kuangalia tu(kusafisha macho) na kuitumia ikiwa nje lakini pia ni wanaume wanopenda kuoa wanawake wenye misambwanda mikubwa kwa kuogopa kuchapiwa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Eti ni kweli nikimuangalia mwenye msambwanda unaumia??Au na wewe unao??@Me too
 
Back
Top Bottom