Wanaume kuweni na huruma kidogo

Wanaume kuweni na huruma kidogo

Habari wanajukwaa, polen na majukum.
Niende moja kwa moja mwenye topic,.
N kuhusu wanaume wa siku hz kupenda wanawake wenye misambwanda mikubwa kiukweli sisi ambao hatuna misambwanda tunaumia sn, kwan hao wenye misambwanda mikubwa wana tofauti gan na sisi wenye misambwanda midogo? Utakuta upo na mumeo ila akiona tu msambwanda mkubwa umepita lazma ageuke na anabadilika kabsa sura cjui anakua anapata hisia gan sijui, yaan mnatufanya mpk tunaanza kujiingiza kwenye kuanza kuyabust mwisho wa cku tunaishia kutumiwa bila kuwekwa ndan na michina yetu. Huu si uungwana kabsa hebu badiliken wanaume
Lia na MUNGU wako
 
Hebu njoo pm nikufariji
 
Dat_25bb80_6105385.gif
152.jpg
[emoji12]
Kuna animation ambayo ipo kwa sasa kwenye huu uzi inaonekana kwenye servar imenileta humu

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
[Colour=yellow]Zamani TV zilikuwa za vichogo ndo style ila sasa FLAT SCREEN ndo habari ya Mujini. Subiri tu zamu yenu yaja hivi karibuni.[colour/]
 
Habari wanajukwaa, polen na majukum.
Niende moja kwa moja mwenye topic,.
N kuhusu wanaume wa siku hz kupenda wanawake wenye misambwanda mikubwa kiukweli sisi ambao hatuna misambwanda tunaumia sn, kwan hao wenye misambwanda mikubwa wana tofauti gan na sisi wenye misambwanda midogo? Utakuta upo na mumeo ila akiona tu msambwanda mkubwa umepita lazma ageuke na anabadilika kabsa sura cjui anakua anapata hisia gan sijui, yaan mnatufanya mpk tunaanza kujiingiza kwenye kuanza kuyabust mwisho wa cku tunaishia kutumiwa bila kuwekwa ndan na michina yetu. Huu si uungwana kabsa hebu badiliken wanaume
Wapo tunaopenda vipotabo ww, huyo mumeoa naye anasafisha macho tu maana sometime bata zinavutia. Chipsi zinavutia barabarani tu lakini nyumbani twapika zaidi ubwabwa japo viazi sokoni vipo. Usihofu ni fahari ya macho tu.
 
Pole sana, ndio asili yetu kutamani neema za uumbaji...Kwa hiyo usife moyo, ridhika na ulichonacho na usijaribu kwenda kuboost utaishia kupata madhara bure!!!
#Be the Joseverest to comment#
 
Bahati nzuri sio wanaume wote wapenda misambwanda. Wengine tunapenda portable... nikipiga portable wakati mwingine hata nambeba kifuani huku game linaendelea
 
Mm napenda
Habari wanajukwaa, polen na majukum.
Niende moja kwa moja mwenye topic,.
N kuhusu wanaume wa siku hz kupenda wanawake wenye misambwanda mikubwa kiukweli sisi ambao hatuna misambwanda tunaumia sn, kwan hao wenye misambwanda mikubwa wana tofauti gan na sisi wenye misambwanda midogo? Utakuta upo na mumeo ila akiona tu msambwanda mkubwa umepita lazma ageuke na anabadilika kabsa sura cjui anakua anapata hisia gan sijui, yaan mnatufanya mpk tunaanza kujiingiza kwenye kuanza kuyabust mwisho wa cku tunaishia kutumiwa bila kuwekwa ndan na michina yetu. Huu si uungwana kabsa hebu badiliken wanaume
Mm napendaga hao flat, njoo inbox tuongee tutaonanaje
 
Hakuna kitu kikubwa kama kujikubali ulivyo nyie ndio wale mnaweza kutumia hata mchina uwe na msambwanda au mambo mengine ya aibu

Team jikubali bana najipenda nilivyo mie wala sitaki niongezeke zaidi ya hapa
 
Back
Top Bottom