Wanaume kuweni na huruma kidogo

Wanaume kuweni na huruma kidogo

Dat_25bb80_6105385.gif
152.jpg
 
Uwe na huruma kdg bas mnatuchanganya mpk tunakosa aman tunaonekana km sio wanawake ila wenye misambwanda ndio wanawAke pekee
Utusamehe tu dada hakuna namna...Itabidi nyie wenye flat mtafute mbinu nyingine Tu ya kutunasa hapo hatung,oki aisee.
 
Kama una flat subir wakati wake, kama ulivyo wakati wa miswambwanda na wakati wa flat unakuja
Umri ndio unaenda hvyo, ukija wakat wa flat nshazeeka tayari, naomba upepo ubadilishwe uhamie kwenye flat sa hz,mpk nmeandka hv n kua soko la flat linafifia
 
Umri ndio unaenda hvyo, ukija wakat wa flat nshazeeka tayari, naomba upepo ubadilishwe uhamie kwenye flat sa hz,mpk nmeandka hv n kua soko la flat linafifia
Mkuu kweli unamauchungu,kwan mkuu wanaume hawakuafuat au tatizo n nn
 
yani unaweza ukajikuta unauza nyumba au unachezea mshahara kabisa yani ule ndo ugonjwa wetu mwanamke tako hayo mengine tutarekebisha
Kinachoniuma zaid kuna mtu alimuacha mke wake kisa kapata mwanamke mwngne mwenye msambwanda na alitamka hadharan kabsa sababu ya kumuacha mkewe kua hana tako hvyo hawez shika mifupa, aiseee nkiikumbuka ile cku hua inaniuma sn na yule mama mpk alipata bp maskn, wanaume wabaya kwenye misambwanda mnachanganyikiwa kabsaa
 
Habari wanajukwaa, polen na majukum.
Niende moja kwa moja mwenye topic,.
N kuhusu wanaume wa siku hz kupenda wanawake wenye misambwanda mikubwa kiukweli sisi ambao hatuna misambwanda tunaumia sn, kwan hao wenye misambwanda mikubwa wana tofauti gan na sisi wenye misambwanda midogo? Utakuta upo na mumeo ila akiona tu msambwanda mkubwa umepita lazma ageuke na anabadilika kabsa sura cjui anakua anapata hisia gan sijui, yaan mnatufanya mpk tunaanza kujiingiza kwenye kuanza kuyabust mwisho wa cku tunaishia kutumiwa bila kuwekwa ndan na michina yetu. Huu si uungwana kabsa hebu badiliken wanaume
#

Ngoja nikupe uzoefu, sijawahi wala sitaman wala sitaki mdada mwenye msambwanda, tena akivua nguo naweza kukimbia, ila hayo madudu yakipita waweza tu kuyaangalia for funny wala si kuyatamani, usikute brother mkubwa wala hana time nayo, ila na yeye ayaangalie kwa kujiiba, mpaka umemshtukia.....
 
Mm npo chuo sasa sa nyngne hua anakuja kunchukua, sasa c unajua mambo ya wanachuo wakishaona gari zuri bs lazma wajipitshe, sasa wale wenye misambwanda ndio hua anawaangalia kweliii mpk nawaza cjui nmuache kwan nshagombana nae sn
 
Utofauti ndio huo nyie wenye misambwanda midogo na wale wenye misambwanda mikubwa,
 
Utusamehe tu dada hakuna namna...Itabidi nyie wenye flat mtafute mbinu nyingine Tu ya kutunasa hapo hatung,oki aisee.

personalize your statement ndugu ... usinilishe maneno, mimi hayo mandorogombwanda sitamani kabisa!
 
Back
Top Bottom