wanaume kuweni makini na michepuko

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,561
Unajikuta umetelekeza familia hata kujenga choo cha makuti unashindwa kisa kuhonga michepuko jamani.
16907975_260736664382352_3926815841986805760_n.jpg
 
Ukioa mwanamke anakuwa kama chama tawala kwa hiyo inatakiwa umtafutie mchepuko kama chama cha upinzani chama tawala akizingua unaenda mchepuko chama pinzani
 
Back
Top Bottom