Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Unataka picha gani hapaPicha!!
Unataka picha gani hapaPicha!!
Mi nina uhakika ni mwanamke ila sina hizo tabia. Kwa hiyo wanaume na wanawake wenye hizo tabia wana hormone za tabia mbaya tu za kucheka kimbea na kujisheua sheua ingawa sijui kujisheua ndo kufanyaje. Kama huwaelewi ni kwa sababu hamuishi wala hamjakulia ulimwengu unaofanana kwa hiyo waache tu na mambo yao.
kwa uelewa wangu cjawah kutana na hormon za tabia mbya znazohuciana na kuchekacheka kimbeya wala kujisheuasheua,eb nsaidie labd znazalishwa na tezi gan?
Mtoto wa mama ni yupi na wababa ni yupi au akili zako fupi zinakwambia waliozaliwa vijijini Ndio wanaume haswaaaana mara nyingi ukiwachunguza unakuta hata mavazi yao yana mishkeli.....unakuta kijana wa kiume kavaa nguo imembana mpaka unajiuliza kuwa huwa anaivuaje....
Lakini kwa kauchunguzi kangu binafsi nimegundua kuwa wengi wa hao vijana ni wale wanaokaa kwenye nyumba za urithi na ni wazaliwa wa hapa mjini.....
Kwa kifupi ni watoto wa mama....
Samahani mkuu mwenye akili ndefu kama nimekukwaza....hayo ni maoni yangu tu mimi mwenye akili fupi....Mtoto wa mama ni yupi na wababa ni yupi au akili zako fupi zinakwambia waliozaliwa vijijini Ndio wanaume haswaaaa
Shalom De Souz. Heri ya mwaka mpyaAlways great to see a mama with brain. They should make you contagious bana. Shalom Mwalimu.
Sioni aibu I feel very proud of myself and what I'm doing, anything else?????Hivi huoni aibu???unataka tukupumulie kabisa tena kwa kujiamini???..
Eeh mungu tunusuru...kwahiyo watakaliwa tako sio..???Sioni aibu I feel very proud of myself and what I'm doing, anything else?????
Nani tena huyo mpendwa lalamaliwato?Kwanza humu kuna marijali tu wenzio wanazungumzia maujuzi waridhishe wake zao we unajifunza ufirauni huo,siku yako ipo kurungunda wewe ,umetuchafulia siku wenzio,kaanze uzi wako wakipumbavu utaunganga na wapumbavu wenzio,tuondokee hapa usitutilie gundu na kutiharibia wanaume wetu
Nataka Ndio tena saanaEeh mungu tunusuru...kwahiyo watakaliwa tako sio..???