Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 365
haswaaaaa umenena,kumbe wewe ndo umenielewa nlichomaanisha,,sasa bora yule anafanya comedy analipwa sasa kuna mwingine mtaani huku ni balaa aisee hadi anakera maana akiachia kile kicheko cha haloooooooo hadi mtaa wa kumi wanasikia
Huyo anatakiwa atolewe mahari aolewe...tabia za kike hizo.