Wanaume kuvaa mawigi/weaving imekaa vipi jamani?

Wanaume wa dar kuna lipi wasiloliona libaya na wakaacha kufanya ushoga madawa shishaa uchafu woteee unatokea humo shame on them
 
Kinondoni kuna mashoga wengi sana,so usishangae kuwaona wanaume wamevaa wigi au kwenda na fashion za kike
 
Baadhi ya wanaume wengi wa sasa wameharibika si wanaume tena..
Mwanaume wa kileo:
1. Poda usoni yeye
2. Lipstick yeye
3. Kujichubua yeye
4. Kuhongwa yeye
6. Kulishwa yeye
7. Kuweka dawa kwenye nywele yeye
8. Kulegeza domo yeye
9. Kula chipsi wao hadi kukosa nguvu za kiume
10. sasa kuvaa wigi imeingia itaenda na kuvaa nguo za kike...DUNIA KWISHNEH...Wababa sasa wanaanza kupotea...

Raisi aliwaambia mambo mengine mjiongeze si kila kitu mnaiga tuu...ohooo
 
Duh! Mimi ndo kwanza naisikia leo hii kitu.
Hata mm,
Lakini sishangai si hata sketi wanavaa siku hizi kama anavyowaongoza mwanabongo fleva wao wakwanza,
Ila hawa tayari ni watu fulani ila wanatafuta ujanja wa kuhalalisha mambo yao tu polepole,
 
Hata mm,
Lakini sishangai si hata sketi wanavaa siku hizi kama anavyowaongoza mwanabongo fleva wao wakwanza,
Ila hawa tayari ni watu fulani ila wanatafuta ujanja wa kuhalalisha mambo yao tu polepole,
Na ni kweli....kuna kitu ambacho kinatengenezeka nyuma ya pazia kupitia haya madudu...ipo siku hiko kitu kitajiweka wazi na hapana mtu wa kukipinga maana kitakuwa kimeshaota mizizi ya kutosha.
 
Back
Top Bottom