uwezi jua wengine wanaitumiaga kama mievuli yakuuzia ganja na life linasonga Kama kawa lakini at a Dom wenye vibiashar Kama hiv wapoHabarin za muda huu Wanajamvi…!!
kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu,, nipo Mbeya kama mwezi wa tatu hivi kwa shughuli binafsi,, lakin kitu nilichokion ni wimbi kubwa la wanaume hasa vijana wenye nguvu kuzunguka mjini na ungo au masahani ya karanga za kukaangwa na kuchemshwa kama biashara yao!!
Wakuu nielewk sio kwamba nina criticise wao kufanya biashara hapana,,tatizo ni kwamba hawa vijana bdo wana nguvu inakuwaje kushinda mjini wanatembeza karanga tena unakuta kwenye ungo ana karanga hazifiki hata za elfu tano,, anaweza kuwa nazo za elfu mbili au elfu tatu!!
Vijana hawa wanawezaj kuendsha maisha kwa kutmbeza karanga za elfu mbili kwa,siku na huenda karanga zenyew zisiishe kwa siku moja so ataenda nazo mpka kesho hizo hizo za elfu mbili.
Kwa maono yangu Mbeya ni mkoa kati ya mikoa iliyobarikiwa kwa kuwa na hali nzuri ya hewa na ardhi ni kubwa tu ya kutosha sasa kwanini hawa vijana wasijiajiri kwenye kilimo kuliko kuhangaika mijini na vikaranga vya elfu mbili mbili??
Maeneo niliyofanikiwa kufika mfano Mwanza,,Dodoma,Dar es salaam sijaona sana biashara hii ikifanywa na wanaume.
Kwa anaeelewa nin tatizo au sababu ya vijana hawa kujihusisha na shughuli hizi ambazo kwenye mikoa mingi tumezoea kuona wanawake ndio wakizifanya anieleweshe niondokane na mawazo haya…!!! Nawasilisha.
Sawa mkuu mim sikatai kuwa kufika mia lazima uanze na moja lakin nachojiuliza hapa je biashara ni moja tu yani kuuza karanga? hakuna kitu kingine kijana anaweza kujishughulisha na kikamtoa kuliko kupoteza nguvu nyngi kuzunguka mjin na karanga,za shilingi elfu mbili?[emoji16] ulivoona aridhi kubwa na nzuri pia hali ya hewa nzuri basi umewaza kwamba waweza ingia tu popote na ukaanza kulima tu ?? We jamaa unachekesha . Ungekua mwenyeji mbeya ungeoneshwa watu wengi tu matajiri ambao walianza kwa kuuza karanga. Hao unaowaona wengi wanatafuta mitaji kaka.
Sijafany kumuamlia mtu mkuu, nimeon ninachokiwaz kinawez kuwa wrong so nkaona kushrikisha wana jf ili niweze kupata mawazo mapya kuhusu hiki nilichokiona…!!Waruhusu watu wengi mno wakushauri ila usiwaruhusu wakuamrie. Jiamrie mwenyewe.
Tunaofanya kazi hizo tuna malengo yetu. Tunafanikiwa kucheza michango(sinking fund) ili kupata mitaji.
Akili siyo sare kama nguo tuvaazo kila mtu na zake. Tunashukuru kwa ushauri ila usituamrie.
Utaona mengi kuliko hayo ndg biashara ni pana. Mipango ya biashara hatuangalii heshima ya bidhaa au ukubwa bali faida upatayo.Sijafany kumuamlia mtu mkuu, nimeon ninachokiwaz kinawez kuwa wrong so nkaona kushrikisha wana jf ili niweze kupata mawazo mapya kuhusu hiki nilichokiona…!!
Hujatukana kweli ila umeonesha dharau grade A.Mkuu kweny thread yangu sijatukan mtu ,,nimejarbu kuongea nachokiona……!!!
Huyo anaingiza kuliko wewe unayeshinda kwenye mitandao.Uliza faida Kwa kilo moja ndiyo usemeHabarin za muda huu Wanajamvi…!!
kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu,, nipo Mbeya kama mwezi wa tatu hivi kwa shughuli binafsi,, lakin kitu nilichokion ni wimbi kubwa la wanaume hasa vijana wenye nguvu kuzunguka mjini na ungo au masahani ya karanga za kukaangwa na kuchemshwa kama biashara yao!!
Wakuu nielewk sio kwamba nina criticise wao kufanya biashara hapana,,tatizo ni kwamba hawa vijana bdo wana nguvu inakuwaje kushinda mjini wanatembeza karanga tena unakuta kwenye ungo ana karanga hazifiki hata za elfu tano,, anaweza kuwa nazo za elfu mbili au elfu tatu!!
Vijana hawa wanawezaj kuendsha maisha kwa kutmbeza karanga za elfu mbili kwa,siku na huenda karanga zenyew zisiishe kwa siku moja so ataenda nazo mpka kesho hizo hizo za elfu mbili.
Kwa maono yangu Mbeya ni mkoa kati ya mikoa iliyobarikiwa kwa kuwa na hali nzuri ya hewa na ardhi ni kubwa tu ya kutosha sasa kwanini hawa vijana wasijiajiri kwenye kilimo kuliko kuhangaika mijini na vikaranga vya elfu mbili mbili??
Maeneo niliyofanikiwa kufika mfano Mwanza,,Dodoma,Dar es salaam sijaona sana biashara hii ikifanywa na wanaume.
Kwa anaeelewa nin tatizo au sababu ya vijana hawa kujihusisha na shughuli hizi ambazo kwenye mikoa mingi tumezoea kuona wanawake ndio wakizifanya anieleweshe niondokane na mawazo haya…!!! Nawasilisha.
Mkuu mim sijafany ku-criticise hii biashara lakin tatizo vijana ni wengi sana wanaofany hii biashara,kiasi kwamba unaweza fika sehem ukajiuliz je hizi karanga kwel wote wanauza? ,,,ndiyo sababu ya mim kuuliz kama wanapata faida na,wao kuwez kuendsha maisha yao ,soma thread yangu uielew vizuri mkuu……!!We ni mtanzania au mzungu kwa hiyo karanga umeziona mbeya tu?je haziuzikia au?sio kila mtu ana mtaji wa kufanya biashara unayoiwaza tumeanzia chini mpaka juu.hii ni Tanzania bwana
Sasasa wewe mkuu unashangaa kijana kajiajiri kwa 5000 jijini mbeya ila hushangai bashite kuimiliki Dar😀😀Habarin za muda huu Wanajamvi…!!