[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
Utampenda mtu ambae anampenda adui yako??
nikupe mfano. Mama ni malaya na baba anamchukia mama kwasbb ni malaya. Lakini mtoto wake anampenda sana mama kuliko baba na anamsikiliza sana mama. Unafkr baba atampenda mtoto.... itokee bahati mbaya mtoto akutwe kasimama na mwanaume... baba atajua mafundisho ya mama yameanza kufanya kazi.
Kataa kubali ila ukwel ndo huo.
Wanaume wengi akiona mwanamke haelewek huwa wanataka kuondoka na watoto wao na mama akae mbali ili asiwavuruge watoto.