usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,097
Kwan skuhiz wanawake wanajioaMtoa mada unaonekana unapigwaga na mke wako..
weneywe nn mkuu
Kwan skuhiz wanawake wanajioaMtoa mada unaonekana unapigwaga na mke wako..
naomba unipe tofauti kati ya mvulana na mwanaume please?Huyo atakua mvulana co mwanaume
Mwanaume unaejitambua huweznaomba unipe tofauti kati ya mvulana na mwanaume please?
Aiseee mkuu unaonekana umeguswa,pole ila mtoto sio lazima afanane na wazazi kila kitu anaeza chukua baadhi ya vitu kwa wazazi na vingine akajitegemea pia kumchukia sio suluhisho,nina mashaka na uelewa wako kwa ulichoandika ila ndo hivyo mtoto sio lazima mtoto ufanane nae ndo ujidhihirishe kuwa ni wako hata mke na mume wakikaa pamoja mda mrefu hufanana..Kama nimekuchukia kwa umalaya unafikiri nitakuwa na hamu ya huyo mtoto?
Mtoto mwenyewe unaniambia amefanana na bibi yako unategemea nini!
Lesbians.....Kwan skuhiz wanawake wanajioa
weneywe nn mkuu
Si kweliMwanaume anamchukia mtoto pale ambapo mtoto ataonesha kumpenda na kuwa karibu na mama yake. Kwaivyo mtoto yeyote ambaye yupo karbu na mama ambae baba anamchukia lazima na mtoto achukiwe na baba.
Bac ww ni shemale....
Ndo nini?Bac ww ni shemale....
Inategemeana
Unaweza kumchukia mwanao lakini ukampenda mtoto wake.
Unaweza kumpenda mwanao na ukamchukia mtoto wake.
Unaweza kuwachukia wote.
Unaweza kuwapenda wote.
Kutokana na sababu husika.
Basi nawe Malaya tu maana usingekua hvo usingedate na Malaya had kuruhusu preg inase,af issue ya mfanano mtto anaeza fanana na yeyote coz kila mtu na vile anafananisha,mwngne anaeza sema kafanana na mom ake mwngne akasema no hajafanana nae....so uhakika n DNA only hapa kuna za kimila n hosp hizo ndo znaumbuaa mtu,but n upuuz tu kuchukia mtoto na usitegemee yeye kuja kukupenda atakuchukia pia.Kama nimekuchukia kwa umalaya unafikiri nitakuwa na hamu ya huyo mtoto?
Mtoto mwenyewe unaniambia amefanana na bibi yako unategemea nini!
2 U 2![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hepi niu iyaa
Poa kabisa.2 U 2
mambo vepeee
Nini maoni yako juu ya hii mada?2 U 2
mambo vepeee
Nimetoka kufuatilia uzi wa forex huko nahisi ndiyo maana sijakuelewa.

Sio kweliMwanaume anamchukia mtoto pale ambapo mtoto ataonesha kumpenda na kuwa karibu na mama yake. Kwaivyo mtoto yeyote ambaye yupo karbu na mama ambae baba anamchukia lazima na mtoto achukiwe na baba.