Wanaume kuna ukweli kuhusu hili?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
Utampenda mtu ambae anampenda adui yako??

nikupe mfano. Mama ni malaya na baba anamchukia mama kwasbb ni malaya. Lakini mtoto wake anampenda sana mama kuliko baba na anamsikiliza sana mama. Unafkr baba atampenda mtoto.... itokee bahati mbaya mtoto akutwe kasimama na mwanaume... baba atajua mafundisho ya mama yameanza kufanya kazi.

Kataa kubali ila ukwel ndo huo.

Wanaume wengi akiona mwanamke haelewek huwa wanataka kuondoka na watoto wao na mama akae mbali ili asiwavuruge watoto.
 
Nini maoni yako juu ya hii mada?
maoni yangu natupia lawama kwa wanaume wasiojielewa
ninachojua mimi mtoto hahusiki kwenye chuki zenu so kama ukimchukia mzazi mwenzio hakikisha mwanao anapata matunzo yote. Kwa wanaume wanaojielewa watanielewa ninachomaanisha.
 
Ni mambo ambayo uswahilin yapo sana,
Wewe unamwambia mwanaume "kama huwezi kulea wanaume wenzako watakusaidia kulea" unafikiri hata kama ulitamka kwa hasira atakuwa na hamu ya mtoto tena.
 
Nyie wanawake ndiyo huwa mnasababisha sana haya mambo kutokea kwa umalaya na majibu yenu ya kishujaa!
 
Mwanaume unaejitambua huwez
Ukamchukia mtoto wako

Unaichukiaje dam yako Kwa mfano
Ukiwa mwanaume unaejielewa
Na mwanamke anaye jielewa hawezi kufanya mambo yatakayopelekea mwanaume kutokuwa na hamu na mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…