Wanaume kuna ukweli kuhusu hili?

Wanaume kuna ukweli kuhusu hili?

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,675
Reaction score
1,754
Habari waungwana
wanaume hivi ni Kweli kuwa ukimchukia mama WA mwanao lazima umchukie na mwanao pia??
 
Habari waungwana
wanaume hivi ni Kweli kuwa ukimchukia mama WA mwanao lazima umchukie na mwanao pia??
Inategemeana

Unaweza kumchukia mwanao lakini ukampenda mama yake.

Unaweza kumpenda mwanao na ukamchukia mama yake.

Unaweza kuwachukia wote.

Unaweza kuwapenda wote.

Kutokana na sababu husika.
 
Mwanaume anamchukia mtoto pale ambapo mtoto ataonesha kumpenda na kuwa karibu na mama yake. Kwaivyo mtoto yeyote ambaye yupo karbu na mama ambae baba anamchukia lazima na mtoto achukiwe na baba.
 
Back
Top Bottom