Wanaume kumbambikiwa mimba. Salam tok Dina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume kumbambikiwa mimba. Salam tok Dina

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Somoe, Dec 30, 2010.

 1. Somoe

  Somoe JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 757
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  Wanaume wote wanashauriwa wapime vyote kabla ya ndo. Hiv na mimba pia ili msibambikiwe aise.

  Kuna dume moja, alikaona kabinti akakapenda na kupima hiv tu na kukaoa haraka haraka. Madada zake shamla shamla, wakakopa kwa ajiri ya harusi ya kaka yao mpendwa. Harusi la nguvu likapita, heheh. Ilipo bainika kuwa bi harusi anamimba ya miezi 3 ya mtu mwingine, tayari kajaa chumbani kama njiwa anaetaka kutaga vile, aise. Rafiki kipenzi chake bi harusi, akamshtua bwana harusi kuwa kanasa mtegoni. Bi harusi kakutwa na mimba ya miezi 3, ndoa imekufa. Mawifi wamechachamaa na kushauri makaka wote wapime hivi na mimba pia kabla ya ndoa. Na mabinti muache kubambikia vijana wa watu mambimba, hata aibu hamuoni:painkiller::painkiller::painkiller:
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mbona haijaanza leo hiyo
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hilo la kubambikiziana watajua wenyewe...ila huyo rafiki hafai kuitwa rafiki!!!Achomwe mdomo!!!
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kumbe ndo dawa si kupima HIV na mimba pia! Kwa maana hiyo kabla hamjachakachuana vipimo mbele kana tai
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh uchumba na ndoa ndani ya miezi 3!! kweli haraka haraka haina baraka
   
 6. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  huyo bwana angekubali kulea tu hamna noma wala nini
  kwani si alipenda wife na kabla ya hapo alikuwa anachakachua kwingine
  je huko kama na yule nae kafanya hivohivo sasa itakuwaje?
   
 7. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na tunawabambikia sana tu hata kama ukipima kabla unaona haipo na mwanamke akishaolewa
  nje tunaenda kama kawa na mimba twabeba kwani nini?
  nyie vidume mimba ngapi mnagawa nje kwa nini na nyie msigawiwe
  heeee mtalea sana na twajua kufananisha mzeee ana bichwa na mdada sharti umtafute mwenye bichwa
  mweupe make sure na mwenzake ni mweupe........ mla huliwa huu ni utaratibu tu jamani.
  Haka ka utaratibu nakapenda sasa mie :teeth:
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  this is what i call schizophrenic lamprophony
   
 9. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hata ufanye nini mwanamke akiamua kukumbambikia mtoto wala hutojua,kama si mimba ya kwanza basi hata ya pili au ya tatu,familia nyingi watoto si wa baba halisi bali wa mwanaume/wanaume wengine wa nje.Kwa kifupi siku hizi kama unataka kuoa ni kumuomba Mungu tu akuepushe na hilo na si vinginevyo.
   
 10. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama mtoto hana baba unataka tufanyeje?unambambikia mwenye kuweza kulea tu,kwan suala si kuwa baba tu!unatoa lami unaweka lami maendeleo yanasonga
  'mama hapigiwi kura,watoto siri ya mama'
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ooohh!!! Kumbe now i know
   
 12. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hakuan hiyo...asilani....has kwa dume la kweli la kiafrika!!
   
 13. Somoe

  Somoe JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 757
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  alimpenda sana tena sana inaviskika heheh
   
Loading...