Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
survival of the fittest,si jambo la ajabu wadada kutugonganisha sisi wanaume.
Inapotokea wanaume/wavulana wawili wamegongana kwa mwanamke/demu mmoja na wakajuana hapo huwa ni sawa na ligi mana hakuna anaekubali kuwa anaweza kunyang'anywa mwanamke/demu na mwenzake.
Hili ni game la wawili na refa wake ni mwamke/demu anaegombaniwa.
REFA akichagua wake na kumwacha mmoja.
Hapo ndipo mwanaume aliyeshinda HUJIPIGAPIGA KIFUANI huku akisema "mimi ndio kiboko yao" na kimsingi hakuna kitu kinachomfurahisha mwanaume na kujiona ni mwanaume aliyekamilika kama KUSHINDA VITA ya kugombania demu.
Aliyeshindwa hubakia mnyonge na anajiona yeye si bora mana hakuchaguliwa.
FURAHA ya kushinda vita ya kugombania demu ni kubwa muno,na
MACHUNGU ya kushindwa vita ya kugombania demu hayapimiki.