Acha ufala huyo jamaa ni raia wa Uganda issue imetokea juzi,unaleta Habari za uongo JFJamani, hivi karibuni nilipost instagram video tatu za vijana ambao wameshtukiwa baada ya kujifanya wanawake kisha kuwaomba pesa washkaji bar. Mademu hao vidume huwa wanategea mtu alewe kisha wanakubaliana naye kwenda kulala na ndipo ataomba pesa ya kinywaji, mara pesa ya kumnunua..nk..ndipo wakati wa kuondoka atajifanya period imeanza ghafla. Sasa hii tabia ingawa kwa bongo haijathibitika ila naamini kuna wana kibao tu wanaingia mkenge kwa hawa wahuni wanaojiremba kuzidi hata wanawake. Sasa sijui tatizo ni ugumu wa maisha au ndo mazoea ya kupenda utelezi?
View attachment 2406499
Lipumbavu hilo linatangaza ushoga kiaina [emoji35]Acha ufala huyo jamaa ni raia wa Uganda issue imetokea juzi,unaleta Habari za uongo JF
Mkuu soma khaaa😂😂😂😂😂😂Acha ufala huyo jamaa ni raia wa Uganda issue imetokea juzi,unaleta Habari za uongo JF
Muwe mnasoma Habari nzimaLipumbavu hilo linatangaza ushoga kiaina [emoji35]
Una mental illnessLipumbavu hilo linatangaza ushoga kiaina [emoji35]
Kweli mkuu umempa Red Flag,Acha ufala huyo jamaa ni raia wa Uganda issue imetokea juzi,unaleta Habari za uongo JF
Acha kukariri commentsUna mental illness
Yani huyo ni mrembo 🤣🤣Jamani, hivi karibuni nilipost instagram video tatu za vijana ambao wameshtukiwa baada ya kujifanya wanawake kisha kuwaomba pesa washkaji bar.
Mademu hao vidume huwa wanategea mtu alewe kisha wanakubaliana naye kwenda kulala na ndipo ataomba pesa ya kinywaji, mara pesa ya kumnunua..nk..ndipo wakati wa kuondoka atajifanya period imeanza ghafla.
Sasa hii tabia ingawa kwa bongo haijathibitika ila naamini kuna wana kibao tu wanaingia mkenge kwa hawa wahuni wanaojiremba kuzidi hata wanawake.
Sasa sijui tatizo ni ugumu wa maisha au ndo mazoea ya kupenda utelezi?
View attachment 2406499
huwa hupigi finger test kiwango cha oil ? maana hapo utajua kama kidume au kikikeHuyo wa kushoto ningeingia king, au ni mwanamke kweli
Vioja au wenzie?