My point ni kwamba, society yetu ina double standards. On the one hand inaonekana ni sawa, chivalry etc kwa mwanamme kuwa provider and all. On the other hand, wanaume wengine wakitaka faida za "usawa" ili wao nao wawe provided for wanakuwa labelled "wanaume kama mabinti".Mimi nafikiri wanaopigania usawa wa jinsia wangeanza na kuipiga vita hii dhana inayo mu elevate mwanamme na in the procss kumtwika reponsibilities - angalau the appearance of responsibilities- disproportionately.
Angalia hata jina la wimbo wenyewe limekaa upande, "Wanaume kama mabinti" what mesage is she trying to send? Perhaps on the subliminal level JD anaona mabinti kuwa tegemezi ni sawa tu, ila wanaume wakianza kuwa tegemezi inakuwa si natural position yao, mimi naona as much as this phenomena is a problem for both genders, hizi approach za kina JD nazo, zilizoota katika msitu wa tradition, zinapalilia matizo.
Wanaume kama mabinti kwa mtu anayefikiri, in this context, is insulting to mabinti, kwa sababu ina propagate the notion kwamba mabinti naturally ni walegevu na tegemezi, kwa hiyo wanaume wasitake kujilegeza na wao kuwa kama mabinti.
Kama wanawake wanataka usawa kuna mawili, wakubali wanaume wanaokuwa "kama mabinti" au wakatae hii notion ya "mabinti" kuwa naturally walegevu na wategemezi.
There is no trade off between the two.

amazingly.. wenzetu kwenye nchi za "magharibi".. kina mama na kina dada wameanza kurudia 'traditional roles". Yaani kuwa wake na kina mama wa nyumbani. Siku hizi wanafundishwa yale dada zetu wa kiafrika walikuwa wanafundishwa katika enzi za unyago. Kitabu maarufu cha "The Proper Feeding of Husbands" cha Dr. Laura is a must read.
Binafsi napenda nije kuoa mwanamke ambaye ni mwanamke.. siyo mwanamke anayetaka kuwa mwanamme! itakuwa ni gender conflict!!
Inawezekana na yeye vigezo vimemponza.Hajatokea wa kukidhi vigezo.Mmh kazi ipo.You must be gender insensitive.Kwani wewe bado hujaoa na uzee wote huo?
Binafsi napenda nije kuoa mwanamke ambaye ni mwanamke.. siyo mwanamke anayetaka kuwa mwanamme! itakuwa ni gender conflict!!
Unakuta mtu kajiwekea vigezo kwa mwanamke au mwanaume anayemtaka kwamba ni lazima wae landa na elimu fulani,familia yao lazima iwe na uwezo kifedha tofuti kidogo na zamani,ni sehemu chache sana zilianagalia hali za kifedha toka upande wa pili,hili halipingiki.Hoja ya vigezo vya bikira sio sahihi kwakuwa kwanza kulikuwa kuna makubaliano and then siku ya harusi ndo bikira zilikuwa zinakaguliwa hivyo hatua ya kwanza haukiwa bikira.Mimi nadhani real love haina vigezo,unafall popote bila kujali,sijui kabila,rangi,dini,elimu n.k,(Unconditional love.)
Lets not go out of topic.... But i am still standing on my point... What kind of man who let his wife lift heavy things? A totally jackass...I dont get what u r arguing here...can you show me a fine line between romance and other sides of life???/ dou you know that romance can run even in the stores during shopping............. sasa ukigomea shopping bag mzee akauchuna ujue umeishathiri romanzi zako mama.............. atahri zake zaweza kutokea baada ya kitambo bila wote wawili kujua na ndio maana utasikia mtu mzima analalamka..............."ooh, kila kitu namtimizia lakini nimegundua ana mwanamke mwingine".................... shauri yako........... just an advice.....................
Mmh kazi ipo.You must be gender insensitive.Kwani wewe bado hujaoa na uzee wote huo?
Lets not go out of topic.... But i am still standing on my point... What kind of man who let his wife lift heavy things? A totally jackass...I dont get what u r arguing here...
Romance might mean something to u and something else to me.... But for me him not allowing me to lift or carry those stuff is most romantuc thing ever... He shows how he cares about and this little things made me love and respect him more...
Inawezekana na yeye vigezo vimemponza.Hajatokea wa kukidhi vigezo.
Toba...
Sijaoa kwa sababu sijaona;
Sijaona kwa sababu sijaangalia
Sijaangalia kwa sababu sijatafuta
Sijatafuta kwa sababu sijakosa
Sijakosa kwa sababu kila nilichopata tayari kilishachukuliwa!
hivyo.."bado nipo nipo"..
Ha ha ha!Shairi zuri sana
Jamani ambao bado mko mko Mwanakijiji naye bado yupo yupopia .Jimbo la uchaguzi liko wazi changamkieni kujaza fomu za kupitishwa kwenye kura za maoni.
but dont make it unbreakable law!!!!!!!!!!!!! mambo yote yawe kwa upendo na yatokee naturally na si kwa kuwa kuna kanuni umeweka na lazima aifuate kwa kuwa tu wewe ni mwanamke huwezi kunyanyua vitu vizito!!!!!!!!............ after all vitu vinavyonunuliwa kwa matumizi ya nyumbani haviwezi kuwa vizito vya mwanamke kushindwa.............. kubweteka huku kwa baadhi ya wanawake ndio tunasema nako kumepitwa na wakati..............
kweli dear kama ndoo ya maji huwezi kunyanyua, nashawishika kusema kuwa nawe umebweteka........................... fanya mazoezi usimtese mzee............ na hilo limbwata lako.............. siku akishtuka umeumia, hataaanggalia nyuma.................
Soma tena tafadhali.Mada iko sawa na taito Mkuu.Nadhani hujanipata vizuri.Mtoa mada sijaona uwiano wa title na mada husika. Ila we ungependa kuoa kipa? Unausemea moyo wako. Yawezekana una kipato cha kutosha ndo maana huweki vigezo vya kimaslahi. Kwa upande wa pili huwatendei haki wanawake kwamba hata wasiposoma wataolewa tu, halafu wanagonga thx. Jipange tena