Dreamliner787
JF-Expert Member
- Mar 24, 2017
- 563
- 366
UPUPU HUU.Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri
Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi
Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi
Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy
Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?
Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?
Umetisha saana! Wakuache wakuache
Yaaaaan we acha tu ndugu[emoji23] [emoji23]Hahahahaha mkuu kuna watu wanabahati bwana
Hahahaaa. Haya zilete zilete. Teh.Haahhahaaaaaaaaaaaa
nakutia ndimu wakati nakupa fact zako!
Mngh!Hahahaaa. Haya zilete zilete. Teh.
Usizilete bana. [emoji85] natania.
Mmh.Mngh!
Hii style yako yaitwaje rafiki?[emoji2] [emoji2]
VP wale washkaj unaowaachiaga mzigo bure ..Wewe umenipenda lazima unitunze,mke ni ua... Lazima lipaliliwe
Hahahaaa. Haya zilete zilete. Teh.
Usizilete bana. [emoji85] natania.
Mngh!
Hii style yako yaitwaje rafiki?[emoji2] [emoji2]
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23]Mmh.
Ipi hiyo tena?
Ivyo vijizawadi sijui pesa acha akupe mwenyewe atakapojisikia..mpe penzi mengine mbwembwe
Swala la kumegewa Galina guarantee .mkuu ...kuna watu wanatoa pesa sana na mademu wao walivyo wajinga wanagongwa nje ..Kabisa ndugu, na hata kama haombi na wewe ukajifanya mgumu humpi siku zote kuna wajanja wataanza kumpa na hapo ndipo unakuwa mwanzo wa kumegewa
Afu et bado wanataka haki sawa ..hv hawa wanawake wanajua maana halisi ya 50:50 au wanajisemea tuu huko mitandaoni....Hata kwa biblia tumeambiws tuishi nao kwa akili ..yan ukiwaendekeza ...ni umasikini tuu ndo unafuataNyie wanawake mna nini? Kilio chenu ni hicho hicho kila siku! Kwan mliletwa ili tuwalee kama watoto! Pambaneni na hali zenu achananen na dhana tegemezi. Mtaendelea kupigwa kuni kibingo tu.
Wajanja mbona wanachukuaga nafas hata kwa wale mademu wanao hudumiwa ..yani nyinyi wanawake ujinga wenu ..utaendelea kuwaadhibu .mpaka akili itakapowakaa sawaHahahaaaa. Umeonaeeee.
Mikono kuwa ya birika iwe kwa kiasi sasa sio inazidi hadi mkono wa birika wenyewe hapo lazima wajanja wachukue nafasi. Koh
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wajanja mbona wanachukuaga nafas hata kwa wale mademu wanao hudumiwa ..yani nyinyi wanawake ujinga wenu ..utaendelea kuwaadhibu .mpaka akili itakapowakaa sawa
Swala la kumegewa Galina guarantee .mkuu ...kuna watu wanatoa pesa sana na mademu wao walivyo wajinga wanagongwa nje ..