Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,847
- 7,014
Wajanja mbona wanachukuaga nafas hata kwa wale mademu wanao hudumiwa ..yani nyinyi wanawake ujinga wenu ..utaendelea kuwaadhibu .mpaka akili itakapowakaa sawa
In every action there is equal and unequal reaction..Mlianzisha nyie kupenda hela na zawad nasi tunamalizia kwa THIRD LAW NEWTON OF MOTION
Na wazazi nao kazi nini ? Ukitaka uhudumiwe 100% ni mpaka uolewe. Maana ntajuaje km Mimi ndo future husband? Je km nahudumia halafu na ww unahonga umpendae? Km nyie ni wapenzi tu basi ili upewe hela you exchange for sex na mwanaume anajua hivyo. Wanaume tunathamini sana wanawake ambao hawako after money kwa sababu if you need money means MTU yoyote anaweza kukununua. Wife material tunaamini ukimpa hela kimtego atakwambia ufanye kitu cha maana cha maisha. ILA huyu anaetaka Mara laki ya saluni na kuremba kucha mwenge huyo anakua just for sale. Nani kakwambia mwanaume anataka makucha marefu na manywele ya bandia eti ndo umependeza? We need natural women who understands and submit to their husbands. Upo? Km hujaolewa acha mwanaume ahudumie mama na wanaomtegemea na Kujenga maisha yake na mke wake mtarajiwa. Omba ndoa sio hela ya matumizi.Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri
Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi
Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi
Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy
Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?
Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?
Sasa we hunihudumii penzi hata hiyo mwez mmoja mie ndo nikuhudumie pesa kirahisi hivyo, kila mtu atimize majukum yake, nijali kwa gemu nakujali kwa shopping...fullstop, hamna kingine hapo, we unataka kila ukiomba nikupe ila huangalii mi nataka nini pia, ubinafsi huo, anayenipa gemu kila nikijiskia au hata nisipoomba gemu ndo nammwagia mapesa km kashinda BIKO, mshiko nje njeeeKuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri
Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi
Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi
Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy
Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?
Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?
Hela tam sanaUmeandika kwa uchungu sana
Pole mwaya.
Yes ndo kinachofanyika, kwan wanadhani sisi tuna roho nzuri, tumeambiwa tuishi kwa akili so tunafuata tu mafundisho ya mababuMuda ambao wewe hutoi tunawapelekea wanao toa.
Siku ukitoa wale hawapati.
Mlianzisha nyie kupenda hela na zawad nasi tunamalizia kwa THIRD LAW NEWTON OF MOTION
Hahahaaa. Pole mwaya mdada. Jifunze kutafuta ya kwako na ukiamua kumpa ile kitu mpe kwa mapenzi yako kwake na sio kutegemea ujira.
Kulikuwa na kongamano flan hivi la wakinadada wasio fanyaje sijuii litakuhusuNa nyie acheni kutongoza..
Amiin Insha allah japo hatujaianza bado.Ramadan kareem
Na wazazi nao kazi nini ? Ukitaka uhudumiwe 100% ni mpaka uolewe. Maana ntajuaje km Mimi ndo future husband? Je km nahudumia halafu na ww unahonga umpendae? Km nyie ni wapenzi tu basi ili upewe hela you exchange for sex na mwanaume anajua hivyo. Wanaume tunathamini sana wanawake ambao hawako after money kwa sababu if you need money means MTU yoyote anaweza kukununua. Wife material tunaamini ukimpa hela kimtego atakwambia ufanye kitu cha maana cha maisha. ILA huyu anaetaka Mara laki ya saluni na kuremba kucha mwenge huyo anakua just for sale. Nani kakwambia mwanaume anataka makucha marefu na manywele ya bandia eti ndo umependeza? We need natural women who understands and submit to their husbands. Upo? Km hujaolewa acha mwanaume ahudumie mama na wanaomtegemea na Kujenga maisha yake na mke wake mtarajiwa. Omba ndoa sio hela ya matumizi.
Angalizo kidogo: To every action there is an equal and opposite reaction, Newton 3rd Law of MotionIn every action there is equal and unequal reaction..
Amiin Insha allah japo hatujaianza bado.
Hapana leo ni mwezi 28 Mkuu kesho 29 ndio tunaangalia mwezi.Kesho ni tarehe mosi ujue
Hapana leo ni mwezi 28 Mkuu kesho 29 ndio tunaangalia mwezi.
Au niliko niko nyuma sana nini?