Wanaume jifunzeni usafi mwili kabla ya mechi

Sa kama unampenda unashindwaje kumsaidia hayo mambo?
Unaogopa nini mbona kugegedana huogopi?
nunua wembe mwambie "honey leo nataka nikunyoe" jichekeshe, ukiwa serious ndo utamfanya ajisikie vibaya kwangua hizo nywele na umnunulie deodorant za kupaka kwapani, mnyoe na hizo voooz.
hayo meno nunua dawa ya meno ya sensodyne au Colgate active pro relief ni nzuri sana, unaongea nae friendly umshawishi awe anapiga mswaki atleast twice kwa siku.
hizo kucha muda wa story umkate...
wewe ndo upo responsible kumchange 100%

Unajua kucare sana wewe mtoto
 
Nahisi kuvomit..... pole bidada. Aisee kama mpaka umemvulia pichu...you are quiet something
 
Mbona huweki wazi kuwa Huyo ni shamba boy
. maana ametoka kijijini ndiyo maan yuko hivyo. Kwa kuwa umeamua kutoka na shamba boy basi nenda naye taratibu muelekeze atachenji tu.
 
hihihihihi duuu!!!
pole.ndugu ila.mwanaume ni kama mtoto tu unaweza.kumbadilisha life style yake na ukamwambukiza ya.kwako...
wengine ndivyo walivyo hawajipendi wanakuambia kuwa smart kwan yeye.mtoto wa.kike? hahaha kweli huyo kazidi...ila cha.muhim nunua kiwembe mnyie.kwa.upendo nenda nae bafuni wakat mwingine msafishe yale maeneo. unayoona hayasafish vizuri kika akienda bafun bas hakikisha.umeshamuwekea dawa kwenye mswaki tayari..
kila.yakichipua wewe nyoa..nunua.dedorant zipo.nying na.nzur za.wanaume na.pafyum pia
sabun nzuri ya kunukia pia..atazoea na kubadilika.polepole
 
Mbona huweki wazi kuwa Huyo ni shamba boy
. maana ametoka kijijini ndiyo maan yuko hivyo. Kwa kuwa umeamua kutoka na shamba boy basi nenda naye taratibu muelekeze atachenji tu.

we! we! we! kijijini!? aliekuambia wanaume wa kijijini wachafu.nani?labda kijijini kwenu ila vijana wengi.kijijini kwetu ni wasafi tena qapo smart.balaaa..usafi ni hulka ya.mtu na.si eneo.atokalo..mashamba boy yamejaa mjin wala.si.kijijini
 
Kabla hujatuambia ss wengine hebu msafishe kwanza huyo jamaa yako mchafu.
Unadhan wanaume wote ni wachafu....??!!
Kwanza inaonyesha jinsi ulivyo mchafu wew mwenyewe ,
Safisha huyo jamaa yako ndo uje hapa kurekebisha wengine....
Uzi huuu ni mchafuuuuuuuu
Unanukaaaaaa aaaaarrrggggghhhh!
 
we! we! we! kijijini!? aliekuambia wanaume wa kijijini wachafu.nani?labda kijijini kwenu ila vijana wengi.kijijini kwetu ni wasafi tena qapo smart.balaaa..usafi ni hulka ya.mtu na.si eneo.atokalo..mashamba boy yamejaa mjin wala.si.kijijini

Nimekupata shamba boy
 
Mbona kunyoana na kuswafiana ni foreplay nzuri sana ktk love making?

Halafu my bro ktk Kristu Asprin kasema vizuri sana, uchafu haufichiki wakati anakutongoza na unless ulimtongoza wewe ulikuwa na uwezo wa kumkataa maana kama kweli wewe ni msafi, uchafu shouldave been no one turn off kabla hujajifunza kumpenda.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ndio yeye?yani nimepanda kwenye daladala sasa hivi nasikia harufu ya nguruwe dume kumbe ni huyu jamaa yako?
 
Mbona huweki wazi kuwa Huyo ni shamba boy
. maana ametoka kijijini ndiyo maan yuko hivyo. Kwa kuwa umeamua kutoka na shamba boy basi nenda naye taratibu muelekeze atachenji tu.

hahahaha eti shamba boy seriously,inawezekana akawa graduate uyo ohooo.
 
hata hvyo una uvumilivu, coz kwa hzo sifa ulizoztoa hapo juu ni balaa, inshort mtu wako ni mchafu, so chukua jukumu kama mpenz wake umuelekeze namna au jins ya kuwa msafi.. mwambie hupendezewi na 1 2 3.. mwambie tu kwa upendo kwamba anakupa tabu kidogo during gegedolization.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom