Wanaume ingieni huku Mara moja

Bibi harusi uko busy. Mpikie mume kwanza afurahie fungate atii. Achana na dunia, ilishanunuliwa kwa damu ya mwanakondoo
 
Tooobah! mie mwenyewe hgal akipika sili chakula.

Kama haukufundwa useme tufanye post kitchen party aisee. Utatutia aibu huko ukweni.
Hahahaha? Kama umegundua tatizo langu nisaidie plz
 
Moniccca unapenda kuchezea upande huu....... sasa ww umekuwa ni Queen wa huku malavi davini.....
 
Kwa ideology kama hizi utakuja humu ukiwa na kama hayo ya mwenzio.Tangu mwanzo ndo nimeyasema kuwa ndo chanzo.
 
Kwa ideology kama hizi utakuja humu ukiwa na kama hayo ya mwenzio.Tangu mwanzo ndo nimeyasema kuwa ndo chanzo.
Nikwambie mim siyo muumini wa ndoa..akizingua atafungasha vilago mchana kweupeeeee! Nawala sitasema humu.
 
Nikwambie mim siyo muumini wa ndoa..akizingua atafungasha vilago mchana kweupeeeee! Nawala sitasema humu.
Kumbe na wewe mmeo ndo kahamia kwako ili siku akizingua anafungasha kama yule wa Leah2?
 



ww ndo leah2 mwenyew!
 
Leo ni suku ya ngapi ya ndoa yako bi mkubwa maana status yako ya ndoa kila mara unai update!
 
Nisaidie kuhesabu plz

Uzuri kwa trend yako wachambuzi wa masuala ya ndoa wameshaona destination...kuna kale kamsemo ka kiswahili kwamba ivumayo.....kama ungekuwa umepitia unyago ungeshafundwa kwamba si yote ya sirini unatakiwa kuweka hadharani! Tatizo ndoa za siku hizi zimekuwa kama crash program! Yaani ndoa za dharura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…