Wanaume, huwa mnaharakia nini?

Wanaume, huwa mnaharakia nini?

No reforms, no election.

Moja kwa moja kwenye mada, hivi nyie wanaume huwa mna shida gani?

Wakati wa mizagamuano hamtaki kabisa kutumia muda kutuandaa, mnara ukisoma 5G nyie mnataka kuzama tu, shida ni nini?

Mna haraka ya nini?, ndege kashakuwa wako manati ya nini eti?

Wanaume wenye hii tabia mbadilike mnatutoa kwenye mood🥲
Ukikuta j ....puya inabidi uharakishe tu maana hilo ni tangazo la danger for D
 
Kitendo Cha kuja Room Tayari umeshajianda.......Labda useme unaomba uchezewe(ufanyiwe romance) na hapo Gharama inabid tugawane
 
Mimi nijianda mpaka mnara uwe 5G afu nianze kukuandaa nawewe tena,afu uje nikupe Hela...utumwa huo nitaufanya kwa mkee tu! Michepuko mim Nikumwagie utamu basii.
Wanaume mnapenda kuchepuka
 
Ukiingia jikoni ukakuta sufuria iko wazi, masuala ya kutafuta kijiko ni ya nini? Ingiza mkono pekenyua zaga kula tembea... Muda mchache
 
Back
Top Bottom