Wanaume huwa hawaonji mara moja……………………..!

Itakuwa hiyo kitu wanaonja ni asali, kwani Anayeonja asali haonji mara moja.
 
Mtambuzi ulosema ni kweli tupu, na mimi kuna kitu kimenijia nafsini mwangu wakati nasoma post za wachangiaji hapa, hivi tunasahau kwamba shetani aliyeasi mbinguni yupo dunian hapa? na je sisi binadam tumemkaribisha na kumkumbatia kama rafiki yetu?

jamani leo naomba niseme wazi kabisa a woman can control man's habit kama tu atafanya kwa upendo, uvumilivu na hekima ya kimungu basi. na hapa niko serious sana siyo matani. wanawake wengi walio amua kuipa familia na maisha ya ndoa kipaumbele hapa watakuwa na majibu mazuri sana.

hebu kwanza turudi katika uhalisia hivi u wapi uvumilivu wa mwanake? hivi makosa ya mume yanachukuliwa kama njia ya kumchukia ama kama changamoto kwa huyu mama? hivi matatizo ya kucheat ni kitu cha kawaida ama ni kitu cha ajabu? hivi kwanini tusijifunze kuwa watu wa kusimamia taratibu zetu? hvi muda mwingi wa mwanamke ama mama wa leo anaudedicate kwenye nini? hivi makosa ya mume ambayo wewe unayaona ni huko kucheat tu ama kuna mengine? hivi ulipoamua kuingia ndoani nini kilikushawishi? na je uliforeseen changamoto gani kabla ya kuingia?na ulizichukuliaje hizi ulliziwekea ukuta a ugomvi na ubomozi wa familia ama njia uliziwekea njia na taa ya kuelekea kwenye ndoa nzuri yenye amani na mafanikio?

mama busara na hekima yako unaitanguliza kwenye kutafuta hela tu na kazi za ofisini tu? wewe mama uko loyal kwa famialia yako? je do you have chastity? are you real dedicated to your family? is your hubby a man(baba) or your friend? and can you distinguish these two positions ndani mwako? sasa ukishajijibu haya yote ndipo uje sasa kwa upande wapili ambao ni wa maumeo. Binafsi familia nyingi ambazo mimi nimekuwa mshauri wa maswala yao ya ndoa nimegundua kuna ubinafsi mkubwa sana kwa wanawake ambao huwa tuna ublackmail kwa mapungufu ya kiume and this is what it eats our families
Ni mara chache sana huw anatoa majibu kwenye post zangu, na hii ni kutokana na kutaka wasomaji wakune vichwa......... Kuna mtu alinitaka nitoe solution, sikutaka kutoa kwa sababu najua hapa JF kuna Great Thinkers ambao wanaweza kabisa kutoa majibui yenge busara..............Wewe ni mmoja wao.

Mungu akubariki.... Una upeo mkubwa sana katika masuala ya uhusiano, iwapo wanandoa hususan vijana ambao ni member hapa JF na wasomaji wengine wa JF watafuatilia post zako humu, watanufaika sana kwa ushauri wa bure..........

Pamoja daima
 
Mie sijawahi kum-cheat mama Ngina, lakini naogopa nikisema kwa sauti hapa kina dada wakware humu wakisikia watanitega ili kunitia ibilisi nifanye kweli, ili wapate la kusema..................

young-aa-couple.jpg


Babu unatania mbona ulipokuwa Zenj visiwa vya Nungwi kuna mtu alikuingiza majaribu...
 
wanaume wanasema huwezi kuwa na mwanamke mmoja kama mamayako thts y wanatoka nje ya ndoa kukanuka kauli hiyo though wanawapenda wake zao.
 
teh teh teh hapa kwetu uswazi mambo ni jino kwa jino si mwanaume wala mwanamke, ukimzid kwa tonge anakuzid kwa mboga, mume akigundua mkewe anatoka na jiran yake na yy anatoka na mke wa huyo mwizi wake, ( revenge), ujinga unahusika pia kwenye hili......
 
Hila nahisi kama wanandoa wanahofu ya Mungu... kweli ni vigumu sana kwa mume kutoka nje yandoa....Mungu anibariki nipate mke bora...
 
Mie sijawahi kum-cheat mama Ngina, lakini naogopa nikisema kwa sauti hapa kina dada wakware humu wakisikia watanitega ili kunitia ibilisi nifanye kweli, ili wapate la kusema..................

young-aa-couple.jpg

Huyu dada anaendaga toilet kweli? alf utakuta boyfriend wake anamsaliti aaaaaaaah mi nachukia sana.
 
Back
Top Bottom